Pages

Friday, May 15, 2015

Lady Jaydee anataka ujue kwamba anaifunga restaurant yake MOG Bar..



jidejaydeeKabla hamjasikia hili toka kwa mtu mwingine yoyote yule. 📢📢📢📢📢📢📢 📢 📢 📢 📢 📢 📢 Napenda kuwataarifu kuwa naifunga Restaurant yangu 
MOG Bar & Restaurant , ifikapo mwisho wamweziMay2015. 😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥 Nimekuwa nikiiendesha hiyo sehemu tangu mwaka 2011 
Hivyo ni miaka 4 mfululizo
Tangu kipindi inaitwa Nyumbani Lounge 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 Biashara lazma ikue na mambo mengine lazma pia yaendelee. 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍 Kutokana na hilo 
Naiachia hiyo sehemu ili kuendeleza mambo mengine. 
mm'Something bigger than that is coming ndani ya miezi 3 ijayo 
Tutaendelea kufahamishana kwa maneno mdomo na picha kila hatua. 
Hata hivyo namshukuru mwenye eneo kwa kunipangisha 
Na kunipa ushirikiano wa hali ya juu 
Kwa kipindi chote nilichokuwa hapo 
# PeaceAmani

No comments:

Post a Comment