Kitunda Magole(Kiwanja) Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 20 X 20 Miguu. 8.6Kms from Banana. 18.9Kms from Clock Tower. Bei: 6.0M Contact: 0715-240140
Pages
▼
Monday, August 29, 2016
Staili za ubao wa kichwani mwa kitanda
Ubao
wa kichwani ni kile kipande cha fenicha ambacho kiko kichwani mwa kitanda.
Unapotaka kuwa na kitanda cha kuvutia, ubao wa kichwani ndio sehemu pekee
kwenye fremu ya kitanda panapokupa nafasi ya kufanya hivyo. Ingawa sio kila
kitanda kina ubao huu ila kilicho nao sio siri kwamba kinavutia kuliko kisicho
nao. Makala hii itakujuza aina mbalimbali za mbao za kichwani na jinsi ya
kuchagua ambao utaongeza mvuto wa chumba cha kulala.
Zaidi
ya kufanya kitanda kivutie, ubao wa kichwani unakiongezea thamani. Pia ubao huo
unaweza kutumika kuendana na mtindo na
Sunday, August 28, 2016
Friends! Happy Sunday
Ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa uhai ulio nao. Natumai wote mu wazima!
Ni follow instagram @vivimachange
Saturday, August 27, 2016
Sale bado inaendelea Cleopatra Furniture. Karibuni
Don't miss cleopatra Sale
Buy more ... Pay less
Discount Up to 25%
Contact us on +255743733333
All Products Hard wood & Handmade Desingns
CLEOPATRA... Unique Furniture For Elites
Njia za kupendezesha coffee table
Friday, August 26, 2016
Unavyoweza kupendezesha ukuta kwa zulia la kutundika
Hivi ulishawahi kukutana na zulia ambalo
unaona ni zuri mno kwamba halistahili kuwekwa nyumbani kwako? Au umependa rangi
na michoro yake lakini hujui uliweke wapi? Wengi wanadhani kwamba zulia ni
kwa ajili ya kupamba sakafuni tu. Leo hii nakufahamisha kuwa si kweli! Historia
inaonyesha kuwa kupamba ukuta kwa kutundika zulia ni utamaduni ulioanzia kwenye
makasri ya kifalme. Kazi za sanaa zinazoonekana kwenye zulia zilitambuliwa kama
ishara ya utajiri.
Thursday, August 25, 2016
Monday, August 22, 2016
Je unapenda nywele zako?
-Je, nywele zimekua zikiwasha na kuanza kujikuna kila wakati hasa wakati wa joto?
-Je, nywele zako zimekua zikikatika katika na kuachia kila wakati unapozichana?
-Je, ukoko wa nywele au Mbaa wamekua wakikukosesha raha na kuwa kero ya muda mrefu sasa?
-Je, ulishawai kuambiwa na kinyozi kwamba una Mbaa wengi na ungependa kuondokana na hiyo hali?
Karibu utumie Aloe Jojoba Shampoo pamoja na Aloe Jojoba Conditioning Rinse. Bidhaa ambazo zitasaidia watu wenye changamoto
ya Mbaa, nywele kuwasha pamoja na nywele kukatika. Ni bidhaa ambazo zitafanya nywele zako ziwe laini na afya nzuri.
Pia itazifanya ziwe na mng'ao mzuri wenye kuvutia.
ziwe na mng'ao mzuri zenye kuvutia. Pia itazifanya ziwe laini na afya nzuri. Kwa mawasiliano zaidi.
Zinafaa kutumika kwa watu wenye nywele zote, zenye dawa, zisizo na dawa.
Ni kwa watu wote, wanaume na wanawake
Kujua bei na jinsi ya kupata sms au njoo whatsapp
0713282039
VINAVYOUZWA.. Blender, mug, squizzer na vikontena
Blender 165,000
Mug @ 10.000
Ya kukamulia machungwa bei 10,000
Vikontena vya kutumika kwenye microwave bei 25,000 hadi 40,000
Namna ya kupendezesha kona tupu
Kila
kona ya chumba iliyo tupu ni fursa yako kubuni namna ya kuipendezesha. Na
wakati unaipendezesha unaweza kujikuta unaitumia pia. Mara nyingi kona zimekuwa
zikisahaulika au kudharaulika, ukitaka uitumie kona ipasavyo ni pale unapokuwa
na nyumba ndogo huku unahitaji kunufaika na kila eneo na pengine una vitu vingi unavyohitaji kuviweka katika
mpangilio ili nyumba yako iwe na
Friday, August 19, 2016
Wednesday, August 17, 2016
Namna ya kupendezesha ndani kwa vyungu vya maua
Kuna
namna nyingi za kuongeza mvuto ndani ya nyumba zetu na tunapotaka kufanya hivyo
kwa kuweka maua ya ndani, mara nyingi
tunaenda moja kwa moja kwenye vesi za maua za meza ya kahawa au ya chakula. Ila
vyungu vikubwa vya maua vya kuweka sakafuni ni njia ya ajabu ya kuchangamsha
kona iliyozubaa au kusahaulika na kuigeuza mara moja kuwa kivutio namba moja
cha jicho ndani ya chumba. Kutokana na
Tuesday, August 16, 2016
VINAVYOUZWA..
Mashine za kufulia kilo 8 used bei laki 7
Mashine ya kutendenezea smoothie/juice nzito bei 120,000
Miko yote bei 16,000
Welcome big time..
Monday, August 15, 2016
Namna ya kutumia marumaru za mosaic kupendezesha nyumba
Marumaru
za aina ya mosaic ni marumaru ndogondogo ambazo mara nyingi ni za pembe nne na
ukubwa wake huwa ni inchi 2 kushuka chini. Tuungane na