Pages

Thursday, April 30, 2015

Diamond Platnumz Kuzindua TV yake Kwenye Zari All white Party Mlimani City Kesho


Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.

Wema: Kweli Nimeolewa

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amemaliza  utaa wa picha zake zilizozagaa mtandaoni  akiwa amavalia shera kwa kuweka wazi kuwa  ni kweli ameolewa.

Leo akiongea  na Soudy Brown kwenye U Heard  ya XXL Clouds FM,

Mbunge Badwel aachiwa huru kwa kesi ya kutoa na kupokea rushwa..

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemwachia huru Mbunge wa Bahi, mkoani Dodoma, Omary Badwel, (pichani) baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa.

HUZUNI!..... MZAZI AMPIGA MWANAYE HADI KUMUUA BAADA YA KUMKUTA NA BARUA YA KIMAPENZI....ALIYEUAWA NI MWANAFUNZI WA KIUME WA KIDATO CHA PILI....BABA YAKE HUYO ALIMWADHIBU KWA KUMPIGA MATEKE NA NGUMI KWA ZAIDI YA SAA 3

MWANAFUNZI wa Kidato cha Pili, Jofrey Robert Mwakatenya (15) anatuhumiwa kuuawa kikatili na baba yake mzazi, Robert Mwakatenya (35) baada ya kumkuta akiwa na barua ya mapenzi, inayodaiwa aliandikiwa na rafiki wake wa kike.

Mzazi huyo ambaye ni mfanyabiashara

Watalaka wanapoungana.....Watalaka wa baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner wamekubaliana na uamuzi wa mume wao huyo wa zamani kujitangaza kuwa ni mwanamke...Na wakatupia picha wakiwa pamoja instagram...Mama yao kina Kim bado hajafungua mdomo...Labda imemuumiza kusikia aliyekuwa mume wake sasa ni mwanamke

Nasubiri picha atakapochinja uume na kupandikiza matiti..There certainly seems to be a divide among the camp of Bruce Jenner's ex wives.
While Chrystie Scott and Linda Thompson continue to sing his praises, Kris Jenner has yet to open up about his decision.

Jaribu hii tuone uwezo wako wa kufikiri..

Mwalimu aliingia darasani akasema kama jana ingekuwa kesho leo ingekuwa ijumaa. Je mwalimu aliongea maneno haya siku gani?

Wednesday, April 29, 2015

PICHA: Such a darling....Ukifikia kunako umri huu utauweza ulimbwende namna hii?

Nimeipenda miwani...nagesi wewe umeipenda lipstick..au shanga...mmmh bangili nazo hatareee?

Mitandao ya kijamii imekatwa Burundi kwa ajili utawala wa raisi Nkurunzinza umedai ndiyo inayotumika kupanga maandamano ya kumpinga

Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu ya mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre Nkurunziza.

Hakuna haja ya kumtafuta mchawi wa filamu nchini kwani wengi wanazitengenza kwa kulipua

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Mariam Jolwa ‘Jini Kabula’ amesema kuwa anguko la soko la filamu za Bongo asitafutwe mchawi, kwani wasanii wengi wanaigiza chini ya kiwango na ndiyo maana kazi zao hazifanyi vizuri, licha ya kutumia gharama kubwa kuziandaa.

PICHA: Tumbo niache nimwachie Mandawa uji....Kula mno ni hasara..

Former 'world's fattest man' set for operation to remove loose skin. Kwa picha zaidi click

PICHA: Kate Middleton akiwa anaendesha range rover....Sikujua malkia mtarajiwa anaweza kujiendesha mwenyewe


Wakati wengine wakidhania yuko leba kwa ajili ya kujifungua baby namba 2 mwenyewe Kate ameonekana akitoka kwenye kasri la kifalme akiendesha range rover..

Kate drives Range Rover
There was a special delivery by the pregnant Duchess of Cambridge yesterday – but not the one we are waiting for.

Jeshi la Nigeria limewaokoa wasichana 200 na wamama 93 kutoka kambi ya Boko Haram....Ila sio wale wa mwaka jana wa "Bring Back Our Girls"

Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa watoto wa kike mia mbili na akina mama tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. 

Jeshi hilo limesema watoto hao waliokolewa si kati ya wale waliotekwa

Ikulu yakana njama za kumdhuru Mengi

Ikulu imekana kuwapo njama zozote za kutaka kumuangamiza Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, zilizodaiwa kuandaliwa na Rais Jakaya Kikwete, kwa kile kilichodaiwa kuwashughulikia wanaoihujumu serikali yake na kupanga kumshughulikia.

Njama hizo ziliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari, ambavyo vilidai

Tuesday, April 28, 2015

PICHA: Vesi za maua zenye midomo midogo

Ikiwa unataka kupamba kwa maua natural lakini bajeti inagomba basi tumia vesi zenye midomo midogo ambapo ukiweka marose mawili inatosha..

Kiganja cha mtoto albino wa Sumbawanga kimepatikana Mbozi kwa fundi seremala....Mseremala huyo alimwagiza mpiga ramli amletee kiganja cha abino kwa dau la sh milioni 100

Mtoto Baraka Cosmas (6) mwenye ulemavu wa ngozi (albino) akiwa amelazwa katika hospital ya Rufaa jijini Mbeya baada ya kukatwa mkono siku za hivi karibuni.


Kiganja cha mtoto Baraka Cosmas (6) mwenye ulemavu wa ngozi (albino) kilichokatwa Machi 8 kwenye Kijiji cha Kipeta, Sumbawanga Vijijini kimepatikana mwishoni mwa wiki wilayani Mbozi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,

MFANYABIASHARA FARIJALA HUSSEIN AENDA JELA TENA KWA EPA

MFANYABIASHARA Farijala Hussein aliyemaliza kifungo kwa kuiba fedha za akaunti ya EPA, amehukumiwa tena kwenda jela baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 400 katika akaunti hiyo.

Vilio vilitawala katika Mahakama ya

Askari shupavu wa kike, Laura Mushi miaka 32 atunukiwa nishani baada ya kupambana na kujiokoa dhidi ya majambazi.....Majambazi hayo yalimburuza na kumkaba shingo ila aliweza kuchukua silaha aliyokuwa nayo na kupiga risasi nne ndipo wakamwamchia wakakimbia

RAIS Kikwete ametunuku watu 42 nishani akiwamo askari wa kike, Koplo Laura Mushi (32) kwa ushupavu alioonesha baada ya kupambana na kujiokoa dhidi ya majambazi waliomvamia hivi karibuni katika kituo cha ulinzi Mikumi, Morogoro.

Askari huyo alitunukiwa nishani sanjari na

Muswada wa sheria ya makosa ya mtandao utasainiwa - Salva Rweyemamu

IKULU imesema Rais Jakaya Kikwete atasaini Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015, kwa kuwa umepitia taratibu zote. Pia, Ikulu imesisitiza kuwa sheria hiyo ni nzuri na itadhibiti matumizi mabaya ya mtandao.

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu alitoa taarifa hiyo

INTERESTING!! Zuma amewaambia Waafrika Kusini wanatakiwa wapate tiba ya hasira.....Apartheid iliwaachia ugonjwa..

SOUTH AFRICANS NEED TO BE CURED OF ANGER - ZUMA
President Jacob Zuma on Monday said the apartheid legacy had made South Africans sick.

Addressing thousands of people at a Freedom Day celebration at the Union Buildings in Pretoria, Zuma slammed South Africans for demanding services by burning and destroying the services they already have.

"That is the example of the apartheid nature that is left with us," Zuma said.

DAILY SUN

Kutana na wenza hawa wa Uingereza, George na Doreen watakaovunja rekodi ya dunia kwa kuwa maharusi wenye umri mkubwa zaidi....Wameishi pamoja miaka 27 ila kwa sasa watoto wamewalazimisha waoane

Hadi wamefanana sura..A couple from East Sussex UK are set to break a world record when they tie the knot this summer.

After 27 years together, George Kirby, 102, and Doreen Luckie, 91, are set to marry on 13 June,

Raisi Kikwete asamehe wafungwa 4,000....Wapo wenye Ukimwi, Saratani, Wazee zaidi ya miaka 70, walemavu na wanaonyonyesha....Watatakiwa kuthibitishwa na jopo la waganga..

RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,129 ambako 400 wataachiwa huru na wengine 3,729 watapunguziwa vifungo vyao.
Alitoa msamaha huo katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa

H Baba amesema baada ya mkewe Florah Mvungi kujifungua hivi karibuni mtoto wa kiume anayeitwa Afrika, mkewe huyo ataachia filamu mbili kwa mpigo.....Walipanga wazae watoto wawili kwahivyo mipango imetimia

Mtoto wa kwanza wa wanandoa hawa anaitwa Tanzanite..
Baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Afrika,mwigizaji wa filamu za Kibongo,Florah Mvungi amejipanga kuachia filamu mbili kwa mpigo.

Mume wa msanii huyo,msanii H.Baba

Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar inabagua Watanzania weusi....Mtu mweusi haruhusiwi kuingia kununua bidhaa


DUKA la jumla (Supermarket) lijulikanalo kwa jina la Huarang lililopo Dar es Salaam linalomilikiwa na raia wa China, limejiwekea mazingira ya kupiga vita Watanzania wenye ngozi nyeusi kuingia ndani na kununua bidhaa.

Aunt Ezekiel amewaambia wasanii waache kujipodoa kwenye msiba.....Wafanane na walioko kwenye majonzi

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amewaponda wasanii wanaokwenda misibani wakiwa wamejipara kupita kiasi.

Askofu Gwajima amesema kanisa lake halitakufa....Litang'aa hazi kizazi cha mwisho..

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema kuna watu wanaotaka kuua kanisa lake lakini kamwe halitakufa na litang’aa hadi katika kizazi cha mwisho.

Wafukua Kaburi Kusaka Dhahabu, Simu na Fedha kwa Ajli Marehemu Aliagiza Azikwe na Vitu Vyake.....Wezi hao Wakamvua Marehemu Nguo Zote na Kuzichukua....Hadi Soksi

WATU wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamebomoa kaburi la Napegwa Kishaluli (75) mkazi wa Mailimoja Kibaha mkoani Pwani aliyezikwa Aprili 20 mwaka huu na kumvua nguo zote pamoja na kuchukua mikoba aliyokuwa amezikwa nayo.

Sunday, April 26, 2015

Waganga wa kienyeji wajitolea kumtibu Wema Sepetu ili apate mtoto

Waganga wa kienyeji wanaotoka katika maeneo tofauti nchini Tanzania wamejitolea kumtibu Msanii Wema
Sepetu aweze kupata mtoto.

Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya

Serikali imeanza kutekeleza agizo lake la kufuta asasi zinazoenda kinyume na malengo ya kuanzishwa kwake...Asasi 24 kufutwa ndani ya siku 7 kuanzia jana....Zimo Tanzania Christian Outreach na Tanzania Muslim Social Community

Serikali imeanza kutimiza ahadi yake ya kuyafuta mashirika na asasi zisizo za kiserikali, NGO, yakiwamo ya kidini na kwa kuanzia imetangaza kusudio la kuzifuta asasi 24 katika kipindi cha siku saba kuanzia jana.

Miongoni mwa asasi hizo ni

Chama cha siasa cha ACT Tanzania kimebadili jina kwenda ACT Wazalendo

Chama kipya cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (pichani juu), kimebadili jina lake la awali la ACT-Tanzania.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imekubali maombi

PICHA: Mrs. O na mtindo mpya wa nywele za curly


Tumezoea kuona picha za Michelle akiwa na nywele/wig zilizonyooka kama picha hapo chini. Ila jana kwenye dinner ya white house ametokelezea na nywele za curly (picha za juu)..Unadhani ipi imemtoa?


Dk Mengi ajibu sababu za kumuoa Klynn

Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao

Saturday, April 25, 2015

BIZARRE: Amber kasahau kuvaa underwear?



Amber akielekea club. Hawa bodyguards huwa wanavumilia mengi kwakweli..halafu huyu wake anaonekana yuko msupuuu...


Amber Rose ditches her underwear and shows off her ample assets in plunging purple dress for latest stop on her club tour.


Read more: http://www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-3055074/Amber-Rose-ditches-underwear-shows-ample-assets-plunging-purple-dress-latest-stop-club-tour.html#ixzz3YLA78xbp
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

Diamond amfagilia Zari kuwa anatimiza majukumu ya nyumbani.....Huku akimponda Wema kuwa hakufagia, kupika wala kufua nguo kulimshinda..

Diamond Platnumz, ambaye penzi lake kwa Zari limekuwa gumzo kubwa, ameweka bayana kuhusu kinachompeleka puta kwa msichana huyo wa Kiganda, akisema anachanganywa zaidi na rangi yake asili.

Wawili hao waliingia kwenye penzi zito

Jamani jamani kunguni hawa.....Hatimaye wanakijiji wa Amani Tabora usiku wa leo watalala bila kunguni


Taasisi ya Better Living Aid kupitia kampuni ya Royal Nsyepa General Supplies ambayo mkurugenzi wake ni Bw Mgalula Fundikira za jijini Dar es Salaam leo imepeleka mtaalamu wa upulizaji madawa ya kuuwa wadudu kama kunguni na wengineo

My article for newspaper: Aina mbalimbali za taa za chumba cha kulala na matumizi yake


Chumba cha kulala ni cha faragha kati ya vyumba vyote ndani ya nyumba. Taa zinaweza kubadilisha muonekano na pia kuwezesha shughuli mbalimbali kufanyika kwenye chumba cha kulala pale jua linapozama.

Iwe unachagua taa za chumba cha kulala cha wakuu wa familia au cha watoto makala hii itakujuza kwa upana kuhusu taa za chumba cha kulala.

MWILI WA MWANAFUNZI ALIYECHAPWA WAZIKWA....MCHUNGAJI AITAKA SERIKALI IANGALIE NAMNA YA KUWAADHIBU WATOTO SHULENI

Mwili wa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Noel Bichima aliyefariki dunia kwa madai ya kuchapwa viboko na mwalimu wake, umezikwa jana kwenye Kijiji cha Matui.

Akizungumza kabla ya mazishi, Mchungaji wa Kanisa la

Chama cha Wananchi CUF kiko tayari kufutwa kwasababu hakiko tayari kuvunja vikundi vyake vya ulinzi

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wa kukifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwa sababu hakiko tayari kuvunja vikundi vyake vya ulinzi vinavyojulikana kwa majina ya Blue Guard na White Guard.

Kama ulishangaa kuona tight security jana Dar basi hii ndio sababu..

HALI ya ulinzi katika viunga vya Jiji la Dar es Salaam sasa si ya kawaida, kutokana na askari wa Jeshi la Polisi kuonekana kutanda katika maeneo mbalimbali.

Katika sherehe za kutimiza miaka 70 Ruge wa Escrow afanya kufuru Dar

MAMILIONI ya shilingi yanadaiwa kutumika katika sherehe ya kuadhimisha miaka 70 ya kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya VIP Engineering, iliyokuwa ikimiliki hisa za mitambo ya kufua umeme ya IPTL, James Rugemalira.