Pages

Monday, June 29, 2015

MTOTO WA RAISI KIKWETE ASHINDA MEDALI MAREKANI

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete anayesoma shule ya kimataifa ya Feza, Khalfan Jakaya Kikwete (17) ameiwakilisha vema Tanzania katika shindano la kusaka wanafunzi wenye akili nyingi 'Genius Olympiad' lililofanyika Oswego, Marekani mwaka huu.

Friday, June 26, 2015

Jinsi ya kuhifadhi mvinyo kwa kutumia susu za kuhifadhia (wine racks)

Susu ya mvinyo ni njia rahisi na ya gharama nafuu kabisa ya kuhifadhi chupa za mivinyo na wakati huohuo zikiweka mivinyo yako katika muonekano wa kimapambo. Susu hizi ni kwa ajili ya muonekano ila sio kwamba zinakuja na jokofu hapana. Katika kuandaa makala hii nimefanya mazungumzo na Jack ambaye ni mtaalam wa kuhifadhi mvinyo na afisa mauzo katika duka la mivinyo. Anasema kuwa kama wewe

PAPA MSOFE AMEFUTIWA KESI YA MAUAJI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya mauaji ya kukusudia iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake, Makongoro Joseph.

Wednesday, June 24, 2015

Jaji Ramadhani Sasa Tishio

Jaji Augustino Ramadhani amesema endapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, watu wasitarajie kuwa “uchungaji” wake utamfanya awe na huruma na wakosaji.

Tuesday, June 23, 2015

SAFARI YA URAISI CCM, MRITHI WA JK MAMBO SAFI

BARAZA la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), linatarajia kukutana kesho jijini Dar es Salaam ili kuanza kujadili mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.

Sunday, June 21, 2015

Mwanamke Mtanzania adakwa na kilo 74 za "unga" India

Matukio ya Watanzania kukamatwa nje ya nchi wakiwa na dawa za kulevya zilizopigwa marufuku yanazidi kukithiri baada ya mwanamke mmoja kukamatwa na kilo 74 za dawa aina ya ephedrine kwenye Uwanja wa Ndege wa Mumbai, India.

Saturday, June 20, 2015

MAJAMBAZI 7 YAMUUA MFANYABIASHARA NA KUMPORA SH LAKI 3!!

MAJAMBAZI 7 wakiwa na silaha mbalimbali wamemuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara Felix Laungeni (58) ambaye ni mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

Hii paint ni mwake kwa kutundika kwenye ukuta wa dining room

Ni nzuri eeh...matunda yanapendeza, ona papai na nanasi zilivyochorwa vizuri.
Courtesy instagram ya TK

Thursday, June 18, 2015

Ukiingia kwenye jengo la ghorofa kuwa mwangalifu....Sio kila balcony (kibaraza cha ghorofa) ni ya matumizi, nyingine ni za mapambo

The six students who died in a Berkeley, Calif., apartment balcony collapse never should have crowded onto the balcony, said an ex-city official.

The students — 5 of whom are Irish, were at the Library Gardens apartment complex celebrating the birthday of a female student, who is among the dead.

The balcony collapsed under the weight of the students sending them plunging four floors to the street below, the NY Daily News reports. 7 other students suffered stable to critical injuries.

ULIMWENGU WA MACELEB: Tyra Banks bila make up..hebu angalia picha na jinsi alivyoi caption

Today, the 41-year-old supermodel posted an honest, unretouched selfie on Instagram just moments after rolling out of bed. Here’s how she captioned her makeup-free image:
“You know how people say#no filter but you know there’s a freakin’ filter on their pic? Or maybe there’s a smidge of retouching going on but they’re lying and saying it’s all raw & real? Well, this morn, I decided to give you a taste of the really real me. I wanted to smooth out my dark circles so badly!!! But I was like, ‘Now, Ty. Show ‘em the REAL you.’ So…here I am. Raw. And there YOU are…looking at me, studying this picture. Maybe you’re thinking, ‘Whoa, she looks ROUGH.’ And if you are, great! You deserve to see the REAL me. The REALLY real me. #RawAndReal”

Mbowe ahukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au faini ya sh milioni moja....Amechagua kulipa faini

MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

Wednesday, June 17, 2015

Wema Sepetu anataka ujue kwamba ameamua kujiingiza kwenye siasa..

Azam TV yabadili habari, yaajiri watangazaji wapya

Kituo cha Televisheni cha Azam kimefanya mabadiliko katika utangazaji wa taarifa za habari, huku kikimuajiri Jane Shirima kuwa mkurugenzi wa televisheni.

AKAMATWA AKITAFUTA MTEJA WA KUMUUZIA MTOTO ALBINO......MTOTO HUYO NA WA DADA YAKE

Mtu mmoja amekamatwa na polisi akiwa katika harakati za kutafuta soko la kuuza mtoto mdogo wa dada yake ambaye ana ulemavu wa ngozi mwenye umri wa miaka sita.

PICHA: Mapambo ya jikoni

Unapoamua kuweka mpangilio kwenye jiko lako unaweza kuwa na nafasi ya kutundika picha na kuweka vesi ya roses kama hivi..inapendeza.

Friday, June 12, 2015

DC Paul Makonda anataka ujue hili kuhusu migogoro ya ardhi

Nay ni baba wa kuigwa..

Nimesoma kwny mazingira magumu sanaaa. Nilikua naona tuh watoto wakishua wakipelekwa shule na school bus, sitaki watoto wangu wasome Kama kwny mazingira yale...
Hii nimenunua kwa ajili ya watoto wangu, #Munie na #Curtis kuwapeleka shule na kurudi.... PrivateSxulBus


Aliyepandikizwa uume anatarajiwa kuwa baba

Daktari wa usapuaji nchini Afrika Kusini amethibitisha kwamba mwanamme wa kwanza aliyepandikizwa uume atakuwa baba hivi karibuni.

Monica Mbega ajitosa kimyakimya kuwania uraisi

Makada wa CCM, wameendelea kupigana vikumbo katika ofisi za makao makuu ya chama hicho mjini hapa kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea urais. Jana ilikuwa zamu ya Balozi Augustine Mahiga na Monica Mbega aliyejitosa kimya kimya.

MKAZI WA MBEZI AFIKISHWA KORTNI KWA KUMLAWITI MTOTO WA MWAKA MMOJA

MKAZI wa Mbezi Beach Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.

Nusu saa kabla wageni hawajafika nyumbani kwako: Ni wapi pa kusafisha?

Katika makala ya leo tunataka kuangalia ni namna gani ya kuandaa nyumba pale wageni wanapotarajiwa kufika muda mchache ujao. Watanzania tunapenda na ni wakarimu kwa wageni kwa hivyo hapana shaka kuwa wengi wetu tunajiandaa kwa mambo kadha wa kadha tunapotegemea wageni nyumbani.

Hivyo basi katika kufanikisha

Thursday, June 11, 2015

Nikikatwa nitampigia kampeni Mwandosya - MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kama CCM haitampitisha kuingia tano bora, atampigia kampeni kwa moyo wa dhati Profesa Mark Mwandosya iwapo ataingia fainali ya kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais.

Wednesday, June 10, 2015

Nuh na Shilole wanatafuta mtoto

Msanii wa muziki Nuh Mziwanda, baada ya kuvuka kihunzi cha skendo ya kumpachika mimba binti, na kupelekea msukosuko katika penzi lake na Shilole, hatimaye ameongea na eNewz na kueleza mipango yake ya kuzaa mtoto na Shilole.

CCM Yamsajili Darasa la Saba Kugombea Uraisi

Mkulima kutoka Kigoma, Elidephonce Bilohe akiondoka baada ya kushindwa kuchukua fomu kutokana na kutokamilisha malipo ya ada ya fomu hizo. Hata hivyo, alikamisha baadaye na atachukua fomu leo Picha na Edwin Mjwahuzi 
Makada watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo wa darasa la saba, jana walijitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba kuteuliwa na chama hicho wagombee urais.

Inasikitisha...KIJANA AUAWA KWA KUPINGA MAMA YAKE ASIOLEWE

Najiuliza kama ni sahihi mtoto kuingilia mapenzi ya mzazi..MKAZI wa kitongoji cha Izia, manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Sylvester Mtoni (32) ameuawa kikatili na baba yake wa kambo wakishirikiana na bibi yake baada ya kushambulia kwa ngumi, mateke na rungu.

WANAFUNZI WAANDIKA BARUA KUOMBA KUACHA SHULE...KISA IKO MBALI

Serikali ilianzisha mpango wa kujenga shule za sekondari za kata moja ya mikakati  ikiwa kupunguza adha ya umbali kwa wanafunzi na kusogeza huduma za elimu jirani na wananchi ili kila mtoto apate haki ya kupata elimu.

Tuesday, June 9, 2015

Davido atunukiwa degree


Star wa muziki Davido kutoka nchini Nigeria, amekuwa mfano wa kuigwa na wengi hasa baada ya kufanikiwa kuhitimu shahada ya daraja la kwanza kutoka idara ya muziki ya Chuo Kikuu binafsi cha Babcock huko Nigeria.

Kuchagua sofa ni kama kuchagua mchumba vile..dondoo 4 zitakazokuwezesha

1. Arms of Love

Your sofa can’t just be eye candy. It has to work for your daily life. So take a few seconds to list out what you’ll be doing when you’re settling in: Reading? Napping? Watching TV? Have face-to-face heart-to-hearts with your friends? Then pick an arm style that will help you achieve your checklist.

2. Great Legs
If you want more air under the sofa, Mark recommends an exposed leg that is longer and thinner.

Picha hizi za matangazo ya tamasha la JLO la Morocco zimeleta shida..


Waziri mkuu nchini Morocco Abdelilah Benkirane ameamrisha kufanywa uchunguzi kuhusu matangazo ya runinga ya tamasha ya mwanamuziki Jennifer Lopez.

Membe amesema hana undugu wa damu na JK

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, amekana kuwa na undugu wa damu na Rais Jakaya Kikwete.

Membe (62) ambaye

Monday, June 8, 2015

BIZARRE: Amber Rose karibia uchi wa mnyama kwenye jalada la kitabu chake kinachokuja..

Amber Rose wants to empower women - and apparently that starts with taking their clothes off.
The model poses very nearly naked on the cover of her upcoming self-help book How To Be A Bad B**ch, due out in October.

Dk Mwele Malecela Ajitosa Uraisi CCM

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.

Sunday, June 7, 2015

Askofu Kagera asema anamuunga mkono Lowassa

Askofu wa Jimbo Katoliki  Rulenge mkoani Kagera, Severine Niwemugizi, amesema anamuunga mkono, kada wa CCM, Edward Lowassa katika safari ya matumaini.

Aidha

Mtoto wa Makongoro Nyerere anusurika kifo kwenye ajali...Chanzo cha ajali ni vumbi lililomzuia dreva

Julius Makongoro mtoto wa kada wa  CCM Makongoro Nyerere, aliyetangaza nia ya kugombea urais ni miongoni mwa watu watano walionusurika kifo wakiwa kwenye msafara wa mgombea huyo, kufuatia ajali ya  gari iliyotokea mkoani Kigoma.

Makongoro Nyerere hakuwepo

Saturday, June 6, 2015

Mama asoma shule ya msingi na wanae watatu..

Aisha, katikati nyuma akiwa na wanae watatu shuleni
“TANGU nilipozaliwa mkoani Morogoro mwaka 1990, sikupata nafasi ya kujiunga na masomo maana familia yetu ilikuwa ya kuhama hama na baba hakuonesha nia ya kunisomesha kabisa.”

HAPANA AISEE!...Mama amchoma mikono mwanaye kwa madai ya kuiba ugali

Stamili Mponzi mkazi wa kijiji cha Ikule wilayani Kilombero,  mkoani Morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchoma mwanae na kumjeruhi mikono kwa madai ya kuiba ugali.

Mama huyo alimuunguza mwanaye

Friday, June 5, 2015

Mfahamu Abela Kibira, mwanamuziki Mtanzania Mmarekani anayefanyia kazi zake za muziki Marekani


Mkoa wa Kagera umebarikiwa kuwa na uwakilishi mzuri katika tasnia mbalimbali ndani na nje ya nchi, mfano mzuri ni Mwanamuziki wa kike Abela ambaye ni mzaliwa wa Bukoba Mkoani Kagera anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania kimziki huko Amerika anakoishi na kufanya kazi zake za muziki.

Kutana na bibi mwenye miaka 33 Uingereza...Unadhani ni jambo la kawaida kwa kizazi cha sasa?

Corrie Rowland, of Askern, South Yorkshire, has become one of Britain's youngest grandmothers at 33. She fell pregnant at 15 with her daughter Bethany, who has now given birth to a baby boy at the age of 17.

KICHEKO!... Wananchama DECI kupewa "mbegu" zao walizopanda

Waziri wa fedha, Saada Mkuya
Serikali imesema kuwa inafanya utaratibu wa kuwalipa fedha takribani Sh. bilioni 19 za waliokuwa wanachama wa Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci).

Jini Kabula hajawahi kulala na mwanaume gesti

STAA wa Bongo movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, ametoa kali kwamba katika maisha yake ya mapenzi hajawahi kulala na mwanaume kwenye nyumba za wageni.

Ni mara ngapi unatakiwa ufue matandiko yako?

Wote tunathamini usingizi mwororo, lakini ni vigumu kuupata kama matandiko ni machafu. Ndipo inaleta maana kuwa matandiko yanapaswa kusafishwa mara kwa mara kadri ya matumizi.

Thursday, June 4, 2015

ULIMWENGU WA MACELEB: Baada ya kuzaa watoto wanne Victoria Beckham amesema haongezi tena mwingine

Victoria Beckham has ruled out having anymore children - insisting: "I've done my bit."
The mum-of-four, whose youngest, Harper, is nearly four, was asked if she was planning a fifth at talk in New York tonight.

UCHAGUZI 2015: Uzushi wapamba moto...EU, Mwandosya wakana taarifa za kumchafua Lowassa

Wakati Watanzania wakiendelea kufuatilia kwa shauku kubwa msururu wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaojitosa kwenye mbio za kusaka ridhaa ya chama chao kuteuliwa kugombea kiti cha urais Oktoba 25, mwaka huu, mitandao ya kijamii imevamiwa na mafundi wa kutunga na kuumba habari na sasa hata Umoja wa Ulaya na Dk. Harrison Mwankyembe wamechomekewa mambo dhidi ya Edward Lowassa.

Je, unataka kujua kama utakufa miaka mitano ijayo? Jibu maswali haya ya utafiti ambao umeandikwa leo kwenye jarida la afya la Lancet

The scientists behind the test claim that their research, published today in the Lancet medical journal, is the most accurate indicator of five-year mortality ever created.

Answering just 11 simple questions for women, or 13 for men, is enough to determine your mortality, the researchers say - with 80 per cent accuracy.

Mwenye nyumba hii kachagua kuweka meza ya marble

Jiwe la marble tayari ni urembo tosha, meza wala haihitaji kupambwa..
Muonekano mwa mvunguni mwa meza ya marble.

Mmmmh!... Unaambiwa mlima Everest sio tena mrefu kuliko yote duniani bali ni Mauna Kea uliopo Hawaii

The world's tallest mountain technically is not Mount Everest.
Mount Everest is the tallest mountain above sea level, but if we're talking sheer height here, base to summit, then the tallest mountain is Mauna Kea on the Island of Hawaii.