Saturday, March 31, 2018

Vitambaa vizuri vya sofa...velveti isiyopitisha maji


Hivi una habari kwamba velveti isiyopitisha maji ndio kitambaa cha sofa kinachokufaa zaidi hasa wewe mwenye watoto wadogo nyumbani?

Una makochi unayotaka kuyaboresha au labda unahitaji seti mpya ya makushen?

Tuna mitindo zaidi ya 40 ya vitambaa vizuri vya sofa ikiwemo velveti original ambayo haipitishi maji.

Kwa mahitaji mawasiliano ni 0755200023
Tupo Sinza Shekilango

Friday, March 30, 2018

Jiko la kuchoma nyama

Jiko dogo Used la kuchoma nyama. Bei 250,000. Linafaa zaidi nyumbani
0755200023

Neti za kisasa za darini


Watu wengi wamekuwa wakipata wasiwasi kuwa kama chumbani kuna feni basi neti ya darini haifai. Sii kweli, tunakuwekea neti ya darini hata kama chumbani kuna feni kubwa ya darini.
Mawasiliano 0755200023
Nitume hitaji lako la nyumbani au ofsini.

Wednesday, March 28, 2018

Tuesday, March 27, 2018

Milango ya mninga



Mteja akiwa amenituma nimpeleke fundi tukampimie milango tumpe bei. Nitume popote, nitume chochote. 0755200023.

Sunday, March 25, 2018

Kiti cha kukalia mtoto mchanga


Kiti used cha kukalia mtoto mchanga hadi miezi kadhaa ili kumuweka karibu na ulipo kipo. Bei 130,000
Mawasiliano 0755200023.

Kama una vitu vya nyumbani au ofsini ambavyo huvihitaji tena au pengine unahama mjia au nchi lakini bado viko kwenye ubora wake tafadhali nijulishe kupitia 0755200023.
Tunauza vitu used.

Tutume Popote Chochote

Hivi unajua kuwa unaweza kutumia nusu ya gharama ya mchakato wa kujipatia hitaji lako la nyumbani au ofsini endapo tu utaamua kututuma sisi badala ya kwenda mwenyewe? Hebu fikiria rasilimali muda na pesa ambayo inapotea kwa wewe tu kwenda kununua hitaji lako mwenyewe ambapo ungeweza kumtuma mtu mwaminifu tu fasta akakununulia na kukuletea ulipo au kukupelekea nyumbani..vitu kama gesi ya kupikia, pampas na vingine vingi vya nyumbani.

Tupo kukurahisishia maisha yako.
0755200023
Sinza Mugabe

Neti ya kisasa kuliko zote ni neti za darini


Neti za kutobolea darini ndio za kisasa zaidi, ni free size na zinatosha kitanda hadi cha 8 kwa 8. Ni ndefu hadi sakafuni. Ni rahisi kutoa na kurudishia wakati unapohitaji kuifua.

Asante mteja wangu wa madale.

Kwa mahitaji tuwasiliane 0755200023