Wednesday, April 1, 2015

Picha: UNADHANI UNA VINASABA VIZURI VYA KUKUWEZESHA KUISHI MIAKA 101? JE, KWENYE CHIMBUKO LAKO KUNA ALIYEFIKIA UMRI HUO?

Picha ya huyu bibi akiwa amebeba kitukuu chake ilisambaa mithili ya kirusi mitandaoni hadi kuwahamasisha pia wengine kuweka picha za vikongwe waliopo kwenye familia zao. Kwa bahati mbaya huyu bibi akafariki hiyo hiyo jana usiku.

"Grandma was always happy, I mean, she was smart as a whip, even at 101," Hamm, 33, told ABC News. "She was funny and had lots of stories.

No comments:

Post a Comment