Thursday, April 2, 2015
PICHA: Uzinduzi wa internet ya bure toka Airtel ijulikanayo kama Na Like asubuhi.......posta hapo naona inaonyesha ni kuanzia 12 hadi 2 asubuhi
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni kabambe ya Airtel inayotoa ofa ya intaneti bure ijulikanayo kama ‘Na Like asubuhi’, katika hafla iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Levi Nyakundi na (kulia) ni Meneja wa Kitengo cha Huduma za Intaneti, Gaurav Dhingra
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment