Tuesday, June 20, 2017

Gauni hili unalivaa popote


Gauni lipo kwa rangi hizi mbili nyeusi na nyeupe.
Bei ni 30,000
Tunauza jumla na rejareja.
Tunaweza kukuletea ulipo ukitaka.
Usiporidhika unarudisha.
Mikoani tunatuma.
Tupo Kariakoo mchikichi na msimbazi na tupo pia Sinza Kamanyola
Kwa mawasiliano piga, text au whatsapp 0755 200023

No comments:

Post a Comment