Tuesday, July 25, 2017

Blauzi za pink na kijani

Blauzi za rangi ya pink na kijani zipo. Ni pana tumboni ambapo inazifanye ziwe sahihi kwa wenye tumbo kubwa au wajawazito.
Bei ni 24,000
0755200023
Sinza Kamanyola
Ukitaka unaletewa.

No comments:

Post a Comment