| maji hapa hayasimami ng'oo. super drainage.. |
![]() |
| fundi lazima ahakikishe anatafuta slope (ndio maana hizo mbao ziko hapo) kuelekeza maji kunakotakiwa |
![]() |
| halafu kushindilia. hicho kimashine cha kushindilia huwa kinakodishwa kwa siku |
| fundi akichemka slope maji yanabaki yamesimama kati kama hivi. |


No comments:
Post a Comment