Sunday, August 19, 2012

Mvua imefanya mambo..

Ian CAR WASH imependeza mapemaaa. Nimekumbuka wimbo mvua na jua kipi bora..
Wa kufanya waxing nao wapo. Zaidi ya kung'arisha gari wax pia inasaidia kulinda mafuta yaliyoko kwenye rangi za gari yako hivyo kufanya rangi idumu. Wax gari yako mara kwa mara.. na karibu Ian CAR WASH..0755 200023

2 comments:

  1. Hiyo car wash ipo wapi?

    ReplyDelete
  2. Ipo survey karibia kabisa na BRAJEC Pub. kama vip nipigie 0755 2000 23

    ReplyDelete