| kibongo bongo huu mmea unaitwa boda |
| boda zinapendezesha kwa kuonyesha mipaka |
| boda ni ngangari kwa jua kali, hazihitaji maji kivile |
| boda zinasaidia kupunguza kasi ya maji ya mvua yanapogonga chini yasidunde juu kuchafua ukuta |
| ukishaotesha boda kazi yako iliyobaki ni kuzikatia tu |
No comments:
Post a Comment