| nikiianza safari |
| kizulia cha katani hicho bi Pili amekanyagia akitupa desa |
| vizulia vya rangi mbalimbali kwa ladha ya mteja |
| doormat ya mkonge hiyo...mwisho wa matumizi yake ni mwisho wa ubunifu wako |
| hii unaweza kuitumia kama bedside..ni mchanganyiko wa nyuzi za katani na za pamba |
| mwanzoni chote kinakuwa cheupe kwa ajili ndio rangi halisi ya katani. rangi watia baadaye ukipenda |
| hapa kizulia cha katani kimetumika kutengenezea mgongo wa kiti cha uvivu |
| kwenye karakana |
| nikajipatia kimoja nikakitupia jikoni kama hivi. nikiwa napika taratiibu miguu inatekenywa |
No comments:
Post a Comment