Friday, July 29, 2016
Vifaa vya jikoni ninavyopendelea..
Mbao za kukatia za aina na rangi mbalimbali, glass za wine, dinner set na sufuria. Kununua njoo whatsapp utume chombo unachohitaji 0755 200023
Thursday, July 28, 2016
Ufuaji wa nguo za wanawake unazingatia aina ya nguo
Kujua
ni lini nguo ya mwanamke ifuliwe inategemea aina ya nguo, anasema Bi Winnie
Mamkwe ambaye ni mfuaji kwenye kituo cha kufulia nguo. Anaendelea kutujuza kuwa
baadhi ya nguo zinaweza kuvaliwa mara kadhaa wakati nyingine zinatakiwa kufuliwa
kila baada ya kuvaliwa mara moja. Tujielimishe kuhusu ufuaji nguo za wanawake
kuanzia za ndani hadi
Tuesday, July 26, 2016
Namna ya kuchagua rangi ya kaunta ya jiko
Kaunta
ya jiko lako inatakiwa kuwa eneo muhimu sana la kuzingatia katika harakati za
kuwa na jiko linalopendeza, sio tu kwa ajili ya muonekano wake bali pia kwa
ajili ya gharama za kununua na pia kuisimika. Kama tujuavyo wenye kujenga
nyumba za kisasa wengi wanapendelea kuweka kaunta ya marble ambapo gharama yake
si ndogo. Unapokuwa umechagua kuweka malighafi hii ambayo ni jiwe la asili basi
kinachofuata ni
Monday, July 25, 2016
Faida za kuwa na jiko la nje
Zamani
ilikuwa kawaida kwa familia kuwa na nyumba kubwa ya kulala na nyingine dogo
pembeni ya jiko. Uwepo wa nyumba za kisasa zenye chumba cha jiko ndani yake unapelekea
kupotea kwa dhana ya kuwa na jiko la nje.
Iwe
unajenga nyumba mpya au unaifanyia marekebisho hiyo ya zamani, kwenye makala
haya nitakuonyesha faida kadhaa za
Friday, July 22, 2016
Namna ya kutunza matandiko mbalimbali yanayokamilisha kitanda
Kitanda
kilichokamilika kwa ajili ya kupanda na kulala kina muunganiko wa matandiko
mengi. Nimehojiana na Mary Masho, mwanadada mwenye fani ya utunzaji wa nyumba
na hapa anaainisha aina ya matandiko yanayokamilisha
kitanda na namna ya kuyatunza. Twende pamoja tuelimike kama ifuatavyo.
1. Mito
Mafuta na uchafu kutoka kwenye nywele
na nyuso zetu zinazama
Tuesday, July 19, 2016
Zulia la kutupia kwenye corridor linavyoweza kupendezesha ndani
Kazi
ya kupendezesha nyumba huwa haina kikomo na ni moja kati ya shughuli inayomfurahisha
mwenye nyumba kwani inampa nafasi ya kuweka upendo wake ndani ya nyumba yake
kwenye vitu anavyovipenda.
Mara
nyingi wengi wanakuwa wanaangalia mambo ya rangi, fenicha, sanaa na vitupio kadha
wa kadha lakini wanasahau corridor. Corridor hapa namaanisha ile njia iliyo
ndani ya
Monday, July 11, 2016
Tabia 5 za kukuwezesha kuwa na bafu safi la kisasa
Wengi
hatupendi kufanya usafi bafuni, ni kawaida. Awali ya yote napenda tukubaliane kwamba
katika makala haya bafu safi la kisasa linamaanisha chumba chenye eneo la
kuogea, kupigia mswaki na kujisaidia.
Ni
wachache wanaopenda kujipinda kusugua kuta zilizojenga utando wa sabuni au hata
kusafisha bakuli la choo. Uzuri ni kwamba kuna tabia unaweza kujizoesha na
Sunday, July 10, 2016
Namna ya kutumia maji kwa uangalifu bafuni
Kuna
msemo unasema kuwa maji ni uhai, bila maji sisi na vyote vilivyomo kwenye sayari
dunia visingeweza kuwepo.
Ukishakuwa
umelijua hilo basi ni vyema kufahamu namna na mbinu za kutumia maji kwa
uangalifu ndani ya mabafu ya
Thursday, July 7, 2016
Mitindo mitano ya kutandika kitanda kipendeze
Hata kama hupendi kutandika kitanda
lakini hakuna ubishi kuwa unapenda muonekano wake kikiwa kimetandikwa, na kwa
namna yoyote ile utapenda kitanda kiwe kimetandikwa pale mtu mwingine
anapoingia chumbani.
Kitanda kilichotandikwa vizuri ni
kile chenye muonekano wa kuvutia, kikiwa hakina makorokoro mengi na pia ni
Monday, July 4, 2016
Mambo machache ya kuzingatia unapohitaji viti vya meza ya chakula
Unapohitaji
viti vya meza ya chakula kuna njia mbili, ya kwanza ni kutengenezesha kwa
mafundi na ya pili ni kununua vilivyo tayari ambapo mara nyingi hivi vinauzwa
pamoja na meza yake.
Moja
ya jambo muhimu unalotakiwa kufahamu ni kama unahitaji viti vilivyoshonewa
vitambaa na
Saturday, July 2, 2016
MAUA YA KUPAMBA NDANI YENYE UBORA WA HALI YA JUU SASA YAPO
Maua haya ni ya quality ya uhakika kama ilivyo kawaida yangu kutoa vitu vya uhakika. Vesi zake ni za udongo
Wewe unayehitaji njoo 0755 200023..
Friday, July 1, 2016
SOFA NA DINING TABLE ZILIZOENDA SHULE...Ukienda kwa jina la Vivi unapewa discount, wasipokupa nijulishe.
For first time in East Africa....SALONI Turkish sofa set .... STATUS Italian furniture... Under one roof at CLEOPATRA Furniture center
0734-733 333
Nyerere road plot 94 - before airport
Njia 4 za kufufua muonekano wa ndani kwa haraka na gharama nafuu.
Kuna njia ambazo unaweza kufuata ili kufufua muonekano
wa ndani ya nyumba yako bila kuhusisha kazi kubwa na wala gharama kubwa. Mara
nyingi, kuongeza au kubadilisha tu vitu vichache inatosha kabisa kuleta upya na
mvuto. Zaidi ya mvuto na upya, pia inanyanyua nafsi za wanafamilia wanaoishi
humo. Hata hivyo kwa matengenezo na maboresho makubwa, mwenye nyumba anatakiwa
kukaa atulie ili ajue gharama na
Subscribe to:
Posts (Atom)