ha ha haaa...nimekutana na nyumba ya glass nikakumbuka ule usemi kuwa usirushe mawe ikiwa unaishi kwenye nyumba ya kioo...kumbe wamo waishio kwenye nyumba ya kioo..tazama uone
| sebule ndani ya nyumba ya glass |
| dining room |
| eneo la kulala...kama big broo vile..mambo ni peupe |
No comments:
Post a Comment