amini usiamini maboga yanaweza kupindua ulimwengu wa upambaji wa kwenye shughuli. iwapo boga litakuwa kwenye msimu na una shughuli yako acha kutumia vesi na roses tumia maboga kama hivi!!
![]() |
wageni watafurahije? utapata soko hapo hapo kama wewe ni mpambaji |
![]() |
boga linapogeuka flower vase |
![]() |
unaweza ukaliandika chochote |
![]() |
hapa unalitoboa toboa halafu unachomekea maua |
![]() |
vase nyingine hizo usikimbizane na machupa wakati ni msimu wa maboga |
![]() |
hata shada linawezekana |
No comments:
Post a Comment