Wednesday, October 25, 2017

Vacuum Cleaner heavy duty/commercial 450,000

Used heavy duty/ commercial vacuum cleaner.

Inafaa kutumika nyumbani au kwenye carwash.

Vumbi na mchanga kwenye carpet, sofa na gari bai bai.

Bei 450,000

Australian Standard
0755200023
Tupo Sinza Kamanyola

Toaster ya Kukaushia Mikate



CONDITION: Used
Bei 45,000

Standard ya Australia
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Kitambaa kikubwa cha meza ya pembenne


Kitambaa kikubwa ( urefu mita 2 na sentimita 20) cha meza ya pembe nne na napkins/mats zake 8 kipo kwa rangi 3.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Wateja wangu wa mikoani nawapenda sana sana!

Ukitaka bidhaa ni hatua 3 tu.
1. Unaoda
2. Unalipia
3. Unapokea


Asanteni kwa kuendelea kuniunga mkono.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Monday, October 23, 2017

Mafuta haya ya nazi yana faida nyingi


Yako clear kama maji, niambie uko wapi nikuletee. Mawasiliano 0755200023

Unaweza
-Kuyanywa
-Kujipaka kwenye ngozi
-Yana balance blood sugar
-Yana balance cholestrol
-Yanaongeza nguvu mwilini
-Yanaua fungus
-Yanapunguza makunyanzi
-Yanapunguza kuungua na jua
-Yanaondoa mba kwenye nywele
-Yanakufanya uonekane wa umri mdogo kuliko ulio nao
-Yanaongeza kinga mwilini
-Yanaongeza mmeng'enyo wa chakula
-Yanafaa kwa massage

Bei 15,000 na 8,000

Sunday, October 22, 2017

Comforter / Duvet nyeupe bei 150,000



Mafuta ya nazi


Mafuta ya nazi ya Africana ni extra virgin /nazi bikira kwa maana ya kwamba hayana chemicals kabisa hata preservatives. Yanatengenezwa hapa nchini. Hayajachemshwa ni cold pressed ni mazuri kwa kupaka watu wa rika zote kwenye ngozi na nywele na kupikia hasa kwa watu wenye cholesterol and kisukari maana ni cholesterol free. Pia kunywea kwenye vinywaji kama vile chai katika kupunguza unene bila kusahau kusukutua ili kuondoa maumivu ya fizi na meno na kuyafanya meupe. Kwa ujumla mafuta haya ni hakika kwelikweli na yana faida nyingi kwenye mwili wa binadamu..kama mnavyonijua sibahatishi!

Makubwa mls 250 bei ni 15,000
Na madogo mls 120 bei ni 8,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Unatamani kutengeneza sehemu ya ukuta yenye gallery ya vioo na fremu?

Njoo tusemezane kama unahitaji kutengeneza wall gallery ya fremu na vioo. Tuna vioo na fremu za kupendezesha kupamba ukuta vya aina mbalimbali.
Tupo Sinza Kamanyola, mawasiliano 0755200023

Pikipiki ndogo ya mtoto ya kuchaji bei 150,000 kubwa 270,000


Tupo Sinza Kamanyola, mawasiliano 0755200023.
Popote tunatuma, kubwa ni 270,000

Wallpaper na vioo vya kwenye sinki vipo


Wallpaper tofauti tofauti na vioo vya ukutani na kwenye sinki vya aina mbalimbali vipo.
Mawasiliano 0755200023

Saturday, October 21, 2017

Ofa..zote 3 ni 40,000

Ofa ya fremu zote 3 za mezani za kuwekea picha, bei 40,000
Mawasiliano 0755200023 

Kitambaa cha meza ya chakula pamoja na napkin



Kitambaa kikubwa cha kufunika meza ya chakula size ya mita moja na nusu kwa mita mbili na sentimita 20
Napkini 8 na vibanio (rings) vyake 8. Bei ya package nzima ni 120,000
Mawasiliano 0755200023

Wednesday, October 18, 2017

Fremu za kuwekea picha kwa ukubwa wowote unaohitaji



Fremu za aina mbalimbali kwa ajili ya kuwekea picha kwa ukubwa unaotaka zipo. A3 bei ni 67,000
Mawasiliano 0755200023

Picha mbalimbali za ukutani zipo





Pendezesha kuta z nyumba yako kwa picha za ukutani.
Tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755200023

Monday, October 16, 2017

Ukitoa oda unapokea mzigo wako popote ulipo kama ulivvyoagiza


Asanteni sana wateja wangu wa mikoa mingine pamoja na Dar ambao mnaendelea kuniamini kwa oda zenu. 

Popote ulipo utapokea bidhaa yako kama ulivyoagiza.
Ni rahisi sana, unachagua...unaoda...unapokea.

Kununua chochote toka wangu click kwenye vinavyouzwa.

Mawasiliano 0755200023
Tupo Sinza Kamanyola

Saturday, October 7, 2017