Friday, March 31, 2017

FAIDA YA SOFA ZA NGOZI


 Awali ya yote nitangulie kwa kusema kuwa endapo unahusika na bidhaa au huduma ihusianayo na nyumba na ungependa tufanye mahojiano tafadhali nijulishe kwa simu 0755 200023.

Ingawaje kuna wigo mpana wa malighafi za sofa kama vile vitambaa na jamii ya plastiki, ngozi imebaki kuwa ni chaguo la kifahari zaidi kwa ajili ya sofa. Hizi ni sababu tano za kwanini watu wanaopenda sofa nzuri na zenye ubora wa hali ya juu wanapendelea kuchagua za ngozi.

Ubora
Kama umesawahi kutembelea sebule au ofisi ambayo sofa zake ni za ngozi unajua hisia unayopata. Hakuna sofa zinazoonekana ni bora za kiwango na

Thursday, March 30, 2017

Mzigo mpya wa wallpaper umewasili




  

Mzigo mpya wa wallpaper umeingia bei sawa na bure roll ni elfu 45 tu na ukichukua mafundi wetu sikuchaji gundi. Mawasiliano kwa unayehitaji 0755 200023

Seti ya duvet na shuka na shuka na pazia zipo




Duvet 1, shuka 1 na foronya 4 bei 80,000

Shuka 2, foronya 2 na pazia 2 bei 80,000

Tupo mwenge 
mawasiliano 0755 200023

Cream iliyochanganywa na pafyum

+
Cream ya asili iliyochanganywa na pafyum kwa ajili ya wanawake na wanaume. Bidhaa za oriflame toka Sweeden ni za asili hazichubui kwahivyo usije ukasikia neno cream ukaogopa. Bei ni 29,000 kwa mahitaji tuwasiliane 0755 200023

Tuesday, March 28, 2017

Taa za mezani zipo



Bei 60,000
0755 200023

FAIDA ZA UPIMAJI NA UMILIKI ARDHI (Viwanja na Mashamba)


Surveyor James Aloyce

-Je kuna faida yeyote mwananchi anaweza kuipata endapo ataipima na kumiliki ardhi yake?
 Jibu ni ndio mwananchi anaweza akapata faida pindi atakapopima na kumiliki ardhi yake kisheria

-Faida hizo ni zipi anazoweza pata mwananchi huyu aliepima na

MAKABATI PORTABLE YA NGUO YAPO

La milango miwili bei ni 110,000

La milango mitatu bei ni 145,000

Mawasiliano 0755 200023

Monday, March 27, 2017

Uhusiano kati ya saizi ya marumaru za sakafuni na ukubwa wa chumba



Kwa kawaida hakuna chumba ndani ya nyumba ambacho unaweza ukasema kuwa hakifai kuwekwa sakafu ya marumaru, cha muhimu ni kuchagua saizi sahihi kwa mahali unapotaka kuweka.

Bwana Hamid 0776 756 197 wa duka la kuuza marumaru la SS Tiles lililopo makutano ya mtaa wa Swahili na Narung'ombeKariakoo anasema kuwa

Sunday, March 26, 2017

GLOVES KWA AJILI YA KUSHIKILIA VITU VYA MOTO ZIPO

Hii seti ni kwa ajili ya kushikilia kitu chochote cha moto hasa sufuria wakati unapopika. Bei ni 10,000

Mawasiliano kwa unayehitaji 
0755 200023

PODA KWA WENYE NGOZI NYEUSI



Rafiki mpendwa, usikubali kutumia vipodozi usivyokuwa na uhakika navyo kwenye ngozi yako. Bidhaa za Oriflame toka Sweden zina ubora uliothibitika kimataifa.
Hii powder ni kwa wenye ngozi nyeusi na bei ni 55,000, wakati foundation ni kwa rangi zote na bei ni 39,000
Kwa mahitaji tuwasiliane 0755 200023

Saturday, March 25, 2017

Neti / Vyandarua vya kuzuia mbu vipo

150,000

250,000

300,000

Vyandarua vya kisasa kwa ajili ya kuzuia mbu ili kujiepusha na malaria masika hii. Ni vya kuchimbia ukutani au kwenye dari. Bei ya fundi kusimika ni 30,000. Tupo mwenge mawasiliano kwa unayehitaji ni 0755 200023

Friday, March 24, 2017

Mopper imara mno na zenye dekio la ziada zipo


Huna haja ya kutenguka kiuno ili uweze kuishi mahali pasafi. Mopper hizi ni elfu 45 tu na zina dekio la ziada. Tupo savei na ukitaka kuletewa popote ulipo inawezekana. Mawasiliano kwa unayehitaji ni 0755 200023


Tuesday, March 21, 2017

UTUNZAJI WA NGOZI: Hivi unafahamu kuwa unaweza kutumia seti ya Novage hadi miezi mitano?


 
Seti ya Novage ni kwa ajili ya jinsia zote kuanzia umri wa miaka 40.
Umri unavyozidi kuongezeka ndivyo ngozi ya uso inavyozeeka ambapo nyama kuteremka na kumpa mtu muonekano wa kizee na uchovu. Kazi ya Novage Ultimate Lift ni kunyanyua hizo nyama zilizoanza kuteremeka na kuzirudisha katika position yake hivyo kuukimbia uzee.

Kwenye hii seti hiyo cream ya mchana imeongezewa SPF (sun protecting factor) hivyo kukukinga na uharibifu utokanao na mionzi ya jua.

Kama unahitaji bidhaa yoyote ya oriflame au fursa ya biashara wasiliana na mimi kwa namba 0755 200023.

Friday, March 17, 2017

UTUNZAJI WA NGOZI: Hii seti ni kwa ajili ya wanaume


Kwa wanaume wote hii seti inawahusu. 

Ina 48hrs Anti Perspirant spray ambayo huzuia harufu mbaya na kukuweka freshi na safi kwa masaa 48 na bei yake ni 16,000.

Sabuni ya maji  kusafishia mwili na nywele (Recharge Hair & Body Wash) bei yake ni 13,000.

Sabuni ya kipande kwa ajili ya kuogea (Original soap bar) bei ni 7,000

Mawasilaino kwa unayehitaji
 ni 0755 200023



Wednesday, March 15, 2017

PAFYUM: Possess kwa wanaume

Pafyum ya possess ni the best smelling perfume kwa wanaume. Bei ni 103,000.

Testers pia zipo kwa ajili ya kuamua kama unapenda harufu husika. Bei ya tester moja ni sh 2000.

Kwa unayehitaji tuwasiliane nakuletea hadi ulipo. Tupo Moroko 0755 200023

UTUNZAJI WA NGOZI: Feminelle ni suluhisho kwa usafi wa sehemu za siri


Feminelle ni bidhaa ambayo inavuka kiwango kwa usafi wa sehemu za siri. Unapojisafisha kwa feminelle unakuwa fresh siku nzima, ukinukia vizuri na wakati huohuo ukijiepusha na maradhi kama UTI na miwasho ya aina mbalimbali. 

Kwa mahitaji tuwasiliane 0755 200023

UTUNZAJI WA NGOZI: Kuondoa makunyanzi kwa wenye miaka 40 na kuendelea


Habari nzuri kwa wanawake na wanaume wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea. Oriflame inawaletea bidhaa ambayo huondoa na kuzuia makunyanzi usoni, kung'arisha ngozi yako na kuifanya soft. Package nzima ni kwa shilingi 261,000 tu

Tuwasilaine 0755 200023

Monday, March 13, 2017

Michoro ya ukutani ya Kitanzania unayoweza kutumia kupendezesha nyumba

Huenda unataka kupendezesha kuta za nyumba yako kwa sanaa za Kitanzania lakini inakupa changamoto kuwa sanaa hizo ni zipi. Labda umeshajenga au kurekebisha nyumba vizuri ila hatua iliyobaki umalizie ni kupendezesha kuta zake kwa sanaa. 

Makala hii inakufungua fikra uone ni aina zipi unazoweza kutumia. Kiukweli zipo mbalimbali na kwa wigo mpana. Nimeongea na dada Suma wa Tanzania Cultural Heritage waliopo jengo la Quality Center na hapa amenyambua aina mbalimbali za michoro ya ukutani ya Kitanzania kama ifuatavyo.

1.       Michoro  ya tingatinga
Tingatinga ni aina ya michoro ambayo ilianzia maeneo ya Oysterbay Dar es salaam kwenye karne ya 20 na baadaye ikasambaaa Afrika Mashariki nzima. Jina Tingatinga limetokana na mwanzilishi wa michoro hii aliyekuwa anaitwa Edward Saidi Tingatinga.

Michoro ya tingatinga haina uhalisia, kwa mfano mchoro wa