Monday, July 31, 2017

Fremu ya ukutani ya maua bei 95,000

95,000

Mito ya duara bei 15,000

Mito ya duara unaweza kupambia kwenye makochi au kitandani.
Bei 15,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

PICHA KUBWA ZA KUTUNDIKA UKUTANI


Picha kubwa ya ukutani juu kioo urefu 75cm na upana 55cm.
Bei 120,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Thursday, July 27, 2017

Design mpya 3 za wallpaper zimeingia



Wallpaper kwa ajili ya kupendezesha kuta za sebule, vyumbani na jikoni zimeingia design 3 mpya. Roll 1 ni 45,000. Gundi 10,000
Tupo Sinza Kamanyola
0755 200023

Wednesday, July 26, 2017

Tuesday, July 25, 2017

Monday, July 24, 2017

Asanteni sana wateja wangu..hivi vishati vimeisha


Kwa heshima na taadhima nawashukuruni sana kwa kuendelea kuniunga mkono.

Personal Shopper
Najua kuwa uko busy sana, au kufanya manunuzi sio hobby yako au hata labda una nguo yako nzuri ila unatafutia ya pili yake kama vile sketi unaitafutia blauzi, shati, koti la kuivamilia...au hata pengine ni raba za watoto hujui uzipate wapi na kwa bei nafuu. Tshirt, suruali, suti na mens wear nyingine ambazo hujui pa kuzipata au huna muda wa kupuyanga kuzitafuta zilipo.

Ninaweza kufanyia kazi hii tena kwa gharama nafuu sana, usiporidhika unarudisha.


Nina kipaji cha kutafuta vitu quality lakini kwa gharama nafuu sana. Ninaweza kukutafutia chochote kile unachotaka na baada ya kuridhika ndio utalipia. Nitatumia vipaji vyangu vyote kuhakikisha wewe mteja wangu unafurahi.



Tuwasiliane 0755 200023

Blauzi, sketi na skin tight

Blauzi ni mwake pia kwa wajawazito,bei 22,000
Sketi 24,000
Suruali 28,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Ulijua kwamba ninaweza kukufanyia manunuzi binafsi?

Personal Shopper
Najua kuwa uko busy sana, au kufanya manunuzi sio hobby yako au hata labda una nguo yako nzuri ila unatafutia ya pili yake kama vile sketi unaitafutia blauzi, shati, koti la kuivamilia...au hata pengine ni raba za watoto hujui uzipate wapi na kwa bei nafuu. Tshirt, suruali, suti na mens wear nyingine ambazo hujui pa kuzipata au huna muda wa kupuyanga kuzitafuta zilipo.

Ninaweza kufanyia kazi hii tena kwa gharama nafuu sana, usiporidhika unarudisha.

Nina kipaji cha kutafuta vitu quality lakini kwa gharama nafuu sana. Ninaweza kukutafutia chochote kile unachotaka na baada ya kuridhika ndio utalipia. Nitatumia vipaji vyangu vyote kuhakikisha wewe mteja wangu unafurahi.

Tuwasiliane 0755 200023

Suruali za ofsini za vitambaa zipo bei 28,000

Suruali hizi za ofsini material ya suti zipo size zote.
Bei 28,000
Mawasiliano 0755 200023

Saturday, July 22, 2017

Sketi za mpira kiunoni na blauzi zipo

Blauzi 22,000
Sketi 24,000

Suruali za wanawake na blauzi za vifungo mbele


Suruali za wanawake za vitambaa pamoja na blauzi za mikono mirefu na vifungo mbele. Zinafaa sana kwa ofsini. Zipo size zote, suruali 28,000 na blauzi 25,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0555200023

Friday, July 21, 2017

NGUO ZA KUVAA UKIWA NA MPENZI WAKO


Blauzi hizi zinafaa kuvaa ukiwa na mpenzi wako kubembeleza mapenzi.
Bei 23,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunakuletea popote ulipo
Usiporidhika unarudisha.
Mawasiliano 0755 200023

Thursday, July 20, 2017

Blauzi hii inafaa kwa usiku na mchana

Blauzi za mabega wazi (offshoulder) zipo dukani.
Bei 23,000
0755 200023

TUNAKULETEA ULIPO...Ulipo Tupo


Jana nimekuwa na deliveries 3. Naelewa ni kwa kiasi gani ulivyo busy na hizi foleni za jiji. Nunua chochote toka kwangu ninakuletea hadi kwenye kiti chako.
Mikoani popote ninakutumia.
Tupo Sinza Shekilango Kamanyola.
Mawasiliano 0755 200023

Wednesday, July 19, 2017

Suruali za kukamata mwili za kushika miguuni zipo




Suruali za jeans na za kukamata mwili mtindo wa taiti zipo size zote.
Jumla na rejareja.

Tupo Sinza Kamanyola
Bei 28,000 tu
Ukihitaji tukuletee ulipo tunakuletea. Mikoani tunatuma.
Usiporidhika unarudisha.
0755 200023

MAGARI BAISKELI NA PIKIPIKI ZA WATOTO



Nina sale kubwa sana inaendelea ndani ya mwezi mmoja ya baiskeli, magari, pikipiki na viti vya kulia watoto.

Baiskeli hadi 80,000
Pikipiki hadi 120,000
Magari hadi 150,000
Wahi haraka.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano ni 0755200023

Thursday, July 13, 2017

Maua makavu ya kupamba ndani yanapendezesha sebule


Maua makavu ya kupamba ndani. Vesi kubwa za sakafuni au juu ya meza ya kwenye kona.

Bei 95,000
Tupo Sinza Kamanyola
0755 200023

Saa iliyobandikwa ukutani inavyopendeza


Pendezesha ukuta wa sebule yako kwa wallpaper na saa za ukutani.
Mrejesho toka kwa mteja aliyefurahia saa ya ukutani toka kwangu.
Tupo Sinza Kamanyola
0755 200023

Viatu vya kisigino kifupi

Viatu vya kisigino kifupi. Viko pea 2 tu. Bei 60,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Wednesday, July 12, 2017

Monday, July 10, 2017

Blauzi za ofsini pamoja na skafu yake

Bei 22,000. Ziko kwenye rangi tatu.
0755 200023

ZINAZOVUMA: Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha hela za Escrow

Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha shilingi milioni 40.4 hela za Escrow alizokuwa ameingiziwa na James Rugemalira katika akaunti yake kwa ajili ya kusaidia jimbo.

Ngeleja amesema ingawa alipewa fedha hizo kama sehemu ya msaada ameamua kurudisha fedha hizo ili kukwepa kashfa hiyo ya Escrow.

ZINAZOVUMA: Harusi ya Profesa Jay Joseph Haule Mbunge wa Mikumi



TANZIA: Mtangazaji Seth Katende Bikira wa Kisukuma amefariki

Mtangazaji maarufu wa redio ya EFM ndugu Seth Katende maarufu kama bikira wa kisukuma  amefariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi. 

Seth atakumbukwa  kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha ubaoni. Msiba uko nyumbani kwa baba yake mzazi Changanyikeni Dar es Salaam. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

Sunday, July 9, 2017

Blauzi kubwa pana nzuri za ofisini za chiffon zipo




Blauzi kubwa pana nzuri za ofisini za chiffon zipo kwa rangi 5.
Tunauza jumla na rejareja.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023
Bei 21,000 ukitaka tukuletee hadi kwenye kiti chako inawezekana.


Saturday, July 8, 2017

Suruali za jeans za kubana chini

Suruali za jeans chana za kubana chini zipo size zote, jumla na rejareja.
Bei 28,000
Tupo Sinza Kamanyola.
Tunapeleka popote.
Usiporidhika unarudisha
Mawasiliano 0755 200023

Friday, July 7, 2017

MAGAUNI MAFUPI MAPANA

Magauni mafupi mapana yapo. Yanafaa kwa wanawake wote hata wajawazito.
Tupo Sinza Kamanyola
Tunapelekea popote na usiporidhika unarudisha.
Bei 30,000
Mawasiliano 0755 200023

Sketi nzuri zipo size zote



Sketi nzuri zipo size zote. 
Tupo Sinza Kamanyola
Tunakupelekea popote ulipo.
Mawasiliano 0755 200023