Tuesday, March 31, 2015

KIONGOZI WA UPINZANI MUHAMMADU BUHARI NDIYE RAISI MTEULE WA NIGERIA.......AMESHINDA NA KUMUONDOA RAISI ALIYEKUWA MADARAKANI, GOODLUCK JONATHAN

Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu Buhari ameshinda kura za urais na kumuondoa rais aliyeko Goodluck Jonathan mamlakani.

Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha mpigia simu mpinzani wake Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.

UPINZANI YASHINDA NIGERIA.......JENERALI BUHARI NDIYE RAISI MPYA WA NIGERIA

Muhammadu Buhari, ni Muisilamu, mzaliwa wa Jimbo la Katsina, Nigeria kaskazini.

Alizaliwa mwaka 1942, Buhari alikuwa kiongozi wa saba wa taifa la Nigeria, baina ya mwaka 1983-1985.
Ni jenerali mstaafu aliyepata mafunzo ya kijeshi katika Nigeria, Uingereza, India, na Marekani.

ASKOFU GWAJIMA APATA DHAMANA MCHANA WA LEO

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.
 Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana

Inapendeza..........Picha nzuri ya Nay na mwanae Curtis

Baba na mwana wakitengeneza bond, Curtis ananyonya pacifier yake hana shida na mtu.. Cute

Unajiuliza uanzie wapi?.......HATUA 3 ZA KUPAMBA CHUMBA

Baadhi yetu tunahamia nyumba mpya au chumba ambacho hakina chochote ndani au hata kimepambwa tayari lakini unataka kubadilisha muonekano. Sasa mtu anajiuliza hapa naanzia wapi kuki design. Napenda changamoto hii kwa ajili

BIZARRE: Blac Chyna...................HII VERSION KWA BONGO UNADHANI NI YA NANI..



Eee Mungu! USO NI SAWA KABISA MIAKA 39 LAKINI HIZI NYAMA SASA ZILIVYODONDOKA.......HILO GEPU KATI YA MAPAJA ..MWENYEWE ANASEMA AMEZALIWA NA MIFUPA MYEPESI..


Tara Reid looked worryingly thin as she posed in a bikini on the beach on Friday.
The 39-year-old actress showed her alarmingly bony ribcage and large thigh gap as she ran along Miami Beach for a photoshoot.

PICHA: Dk Slaa akimjulia hali Askofu Gwajima hospitalini alikolazwa


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimjulia hali Askofu Josephat Gwajima, wa Kanisa la Ufufuo na Uzima aliyelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam kwa matibabu.

BINTI MTANZANIA TOKA ZANZIBAR AKAMATWA KWA UGAIDI KENYA...........WAKO WASICHANA WATATU.......NYARAKA ZINAONYESHA WALIKUWA WANAENDA KUOLEWA NA WANAJESHI WA KUNDI LA ALSHABAB

Ummul-Khayr Sadir Abdul (19). 
Vyombo vya usalama nchini Kenya, vinawashikilia wasichana watatu akiwamo Mtanzania, kwa kile kunachodaiwa kutaka kujiunga na kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Somalia.

HOSPITALI YA AMI/TRAUMA CENTER MASAKI KUFUNGWA?.......................DAR HOSPITAL FACES CLOSURE OVER SH3BN RENTAL CHARGES

IN SUMMARY

In a February, 2015 ruling, the Court of Appeal ordered the South African company operating as AMI Hospital or Trauma Centre to deposit in court the money plus a monthly rent of $64,000 from January 2013 to the date it vacates the premises following a dispute over tenancy with a local businessman, Navtej Singh Bains.

Dar es Salaam. AMI Hospital or Trauma Centre at Msasani in Dar es Salaam is facing closure after it failed to comply with the Court of Appeal order that sought the South African company to deposit in court $1.514 million (about Sh2.725 billion) following a dispute over tenancy.

Binti wa Kida Waziri na Marehemu Hemed Maneti kurudia nyimbo za wazazi wake

KOMWETA MANETI
MTOTO wa aliyekuwa nguli wa muziki wa dansi nchini, Hemedi Manet (marehemu kwa sasa), Komweta Maneti, anatarajia kukamilisha nyimbo mbili na video zake kuzifanyia Sumbawanga mkoani Rukwa.

PICHA: Msibani kwa Abdul Bonge Mkuyuni Morogoro

Waombolezaji bloga maarufu Jestina George, Zari na mtu mwingine wakiwa msibani kwa mwanzilishi wa TIPTOP CONNECTION marehemu Abdul Bonge. RIP Abdul.

SAKATA LA KUTAKA KUUAWA DK SLAA.......................MCHUMBA WAKE ATOA MAELEZO

MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa kwa katibu huyo.

GWAJIMA AONGEA.......ASEMA ALIAGIZA BASTOLA KUJILINDA PALE HOSPITALINI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akizungumza na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Josephat Gwajima alipokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam jana.
 
Kauli ya Gwajima

Akizungumza kwa shida akiwa amejishika tumbo, Gwajima alisema alipopata taarifa za uvumi kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia, aliagiza wachungaji waende hospitalini kwa ajili ya kumlinda, lakini wakaishia mikononi mwa polisi wakidaiwa kutaka kumtorosha.

ZARI thebosslady anatuonyesha jinsi ya kuvaa kiswahili na kuonekana mrembo...................angalia picha

Zari amebandika picha hii kwenye ukurasa wake wa instagrama akaiwekea caption the swahili way of dressing up. Mashallah amependeza na anaweza kweli kuendana na utamaduni wa alipo.

SILAHA WALIYOKUWA NAYO WALIOKUWA WANAKULA NJAMA ZA KUMTOROSHA GWAJIMA HOSPITALINI INAMILIKIWA KIHALALI NA ASKOFU GWAJIMA

Leo tarehe 30/03/2015 waandishi wa habari walifika kituo Kikuu cha Polisi wakitaka kujua uhalali wa silaha iliyokamatwa tarehe 29/03/2015. 

Silaha hiyo ni Bastola aina ya BERRETA yenye namba CAT5802 ikiwa na risasi tatu. Pia zilikamatwa risasi 17 za Short Gun.

Ufafanuzu ni kama ifuatavyo:

Uchunguzi wa kina na wa kitaalam sasa umethibitisha kwamba silaha hiyo inamilikiwa kihalali na Askofu Josephat Gwajima. Kuhusu risasi 17 za Short Gun ni kwamba Askofu Gwajima anamiliki Bunduki aina ya Short Gun yenye namba 102837 ambayo inatumia risasi za aina ya hizo zilizokamatwa.

Kuhusu watu 15 wanaotuhumiwa kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Gwajima bado uchunguzi unaendelea. Aidha watu hao pia wanahojiwa kuhusu suala la kukutwa na silaha na risasi zilizotajwa hapo juu wakati wao sio wamiliki halali za silaha hiyo na risasi hizo na idadi iliyotajwa kwa mujibu wa sheria.

Baada ya uchunguzi wa suala hilo jalada la kesi litapelekwa kwa mwanasheria wa Serikali kabla hawajafikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.


KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM,S. H. KOVA,DAR ES SALAAM.

Monday, March 30, 2015

HATIMAYE OBAMA KUZURU ALIKOZALIWA BABAKE JULAI MWAKA HUU

Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa, Rais Barrack Obama atazuru Kenya mwezi Julai mwaka huu, taifa alikozaliwa babake.

SHROSE BHANJI AFUNGUKA UGONJWA UNAOMSUMBUA

Mbunge katika bunge la Afrika Mashariki,Shyrose Bhanji amefunguka ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu uliomfanya alazwe katika hospitali ya Agha Khan,jijini Dar.

STUDY: WAZAZI MNAPASWA KUDHIBITI UNENE WA WATOTO WENU........TAKWIMU ZINAONYESHA WATOTO KUNENEPA KUPITA KIASI IMEKUWA KAWAIDA MAJUMBANI

Madaktari wanasema kuwa wazazi wengi hawajui madhara ya afya kwa watoto walionenepa kupita kiasi.

Katika utafiti uliowajumuisha zaidi ya familia 2,976 nchini Uingereza ni wazazi 4 pekee waliokuwa na shauku kuwa mtoto wao alikuwa amenenepa kupita kiasi.

HEEEE HE! MUSWADA WA UHALIFU MITANDAONI KUWASILISHWA BUNGENI LEO................UKIWEKA MITANDAONI MATUSI, NGONO FAINI NI SH MILIONI 30 AU MIAKA 10 JELA..

Serikali itawasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 kwa hati ya dharura unaoorodhesha adhabu mbalimbali, ikiwamo ya faini ya Sh50 milioni au kifungo kisichopungua miaka saba kwa mtu atakayebainika kusambaza picha za ngono mtandaoni.

RANGI ZA MAZULIA YA NYUMBANI NI NYINGI........UNAAMUAJE UNUNUE RANGI IPI..?

Hakuna sakafu inayoipa miguu ulaini kama sakafu ya carpet. Carpet linafanya sakafu salama kwa watoto kucheza na pia linapunguza uwezekano wa kuumia wanapoanguka. Ni kweli carpet linahitaji utunzaji wa ziada ukilinganisha na sakafu nyingine kwa mfano za tiles, mbao, tarazo nk.

Kwa rangi lukuki zilizopo, inaweza kukuwia vigumu kuchagua rangi sahihi kwa ajili ya nyumbani kwako. Rangi nyingine kama cream na nyeupe, light blue yani kwa ujumla rangi za mwanga zinahitaji usafishaji na utunzaji wa ziada. Rangi za giza kama brown, nyekundu na maroon hazihitaji usafishaji wa mara kwa mara kama zile za mwanga, ila kuwa makini kwani rangi za giza huwa zinapauka.

Sasa uamuzi ni wako, unadhani ni rangi zipi za carpet zinakufaa zaidi...za mwanga au za giza?

WANAHARAKATI WAPINGA MUSWADA WA UHALIFU MITANDAONI.........WASEMA UKIPITISHWA KUWA SHERIA UTAZUIA UHURU WA MAWASILIANO

WADAU wa matumizi ya mtandao wametoa tamko la kuliomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao kuwa sheria, kwa kuwa unaingilia uhuru wa mawasiliano kwa wananchi.

Angelina Jolie na bintize kwenye Kids' Choice Awards..........................Upendo Mungu aliomwekea mama kwa wanae ni wa ajabu

 Picha hizi ni za kwanza hadharani baada ya Angie kuondolewa kizazi kwa hofu ya saratani..Angelina Jolie knows how to party... with her kids, that is.
The mother of six spent her Saturday night at the Kids' Choice Awards at the Forum in Los Angeles with her daughters Zahara, 10, and Shiloh, 8, in tow. Jolie was nominated for Favorite Movie Actress as well as Favorite Villain (for her work in Maleficent).

ASKOFU PENGO AMESEMA AMEMSAMEHE ASKOFU GWAJIMA.................MKE WA GWAJIMA ASEMA MUMEWE AMETOLEWA ICU BAADA YA KUONEKANA ANAENDELEA VIZURI

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema, amemsamehe Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye hivi karibuni alimtolea maneno makali kutokana na kutofautiana naye juu ya msimamo wa viongozi wa Kikristo kuhusu Katiba Inayopendekezwa.

JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA WATU 15 KWA TUHUMA ZA KUTAKA KUMTOROSHA ASKOFU GWAJIMA HOSPITALINI ALIKOLAZWA SAA TISA USIKU

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.

Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15

Sunday, March 29, 2015

SWALI KWA WANANDOA..

Nimekutana na hili swali kwa wanandoa Jamiiforum nikaona si mbaya niliweke hapa.

Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy ofisini ila akampa hela ya taxi. 

Alipofika kwenye sherehe akakutana na msichana mrembo wakazoeana na kuanza kubadilishana story za hapa na pale.


Sherehe ilipoisha waliulizana njia ya usafiri ambayo kila mmoja atatumia kuondoka. 
Yule mke wa jamaa akasema yeye amepewa hela ya taxi kwa hiyo angetumia taxi kurudi nyumbani.

Yule binti mrembo akasema aliletwa na "boyfriend " wake hivyo angekuja kumchukua. Hivyo akamwomba rafiki yake huyo asitumie taxi .

Baada ya muda mfupi gari ya boyfriend wa yule binti mrembo likaingia. Yule mama akakaribishwa apande , alipotahamaki akagundua ni gari ya mume wake. 


Akapanda kiti cha nyuma na akatambulishwa kama rafiki wa yule binti mrembo. Mume alipogeuka akakutana uso kwa uso na mkewe!

Swali: ungekuwa wewe (mwanamke au mwanaume) ungefanyaje?

SOMA KISA KIZIMA KILICHOPELEKEA HADI ASKOFU GWAJIMA KUZIMIA

 
Hali ya Gwajima bado tete
NA MOSHI LUSONZO NIPASHE JUMAPILI

Polisi, waumini wavutana hospitali inayofaa

Askofu wa Kanisa la Ufufuko na Uzima, Josephat Gwajima akiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam jana.

Soma dukuduku hili la mdau kuhusu mwenendo wa blogs nchini....WAPO WANABLOG WANAOUA WALIO HAI!!

TCRA izimulike blogs ‘Uchwara’ na kuzichukulia hatua kali
Soma makala hii kutoka Dewji Blog imeandikwa Na Andrew Chale wa Modewji blog

“Screen shot” ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima.
…Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi

Picha: MSIBANI KWA ABDUL BONGE

Waombolezaji wakiwa msibani kwa ALIYEWAHI kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.

PICHA: Jinsi unavyoweza kuongeza rangi sebuleni kwako kwa gharama nafuu..

Unaweza kuongeza rangi sebuleni kwako kwa gharama nafuu kwa kutumia picha na fremu za ukutani za ukubwa na michoro tofautitofauti, na pia kwa kutupia mito ya makochi ya rangi mbalimbali. Unaona kama kwenye hiyo sebule hapo zulia jeupe, kochi la kijivu na ukuta wa cream ungefanya sebule ipooze. Lakini rangi za mito na picha ukutani zimeifanya changamfu. We unaonaje? 
Picha toka mtandao wa house to home.

PICHA: MATEMBEZI YA KUPINGA VITA MAUAJI YA ALBINO JIJINI DAR LEO................KAMPENI HII INAITWA IMETOSHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.


KIBURUDISHO......Beautiful Shamim........kila kitu on point...

Unapenda unachokiona? Shamim ametupia picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram...kutaka kujua ni nani kamvalisha ingia bloguni kwake kesho.

GWAJIMA YUKO CHINI YA UANGALIZI MAALUM HOSPITALI YA TMJ

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Josephat Gwajima akihudumiwa na muuguzi wa hospitali ya TMJ, Dar es Salaam jana.Askofu Gwajima amelazwa katika hospitali hiyo baada ya kuzimia wakati akihojiwa na polisi juzi.Picha na Salim Shao. 
Hali ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima inaendelea vizuri, ingawa haijabainika anasumbuliwa na tatizo gani kiafya hadi hapo vipimo vitakapopatikana.

NYATU NYATU MENGI NA MKE WAKE KLYNN WAMEFUNGA HARUSI KWENYE KISIWA HIKI

Kutoka blog ya vijimambo:
Hiki ni kisiwa cha Mauritius moja ya visiwa vinavyovutia dunia ndipo chaguo la Bwana Mengi kwa ajili ya harusi yake na Beautiful Onyenyi wake Ky_Lynn pamoja na watoto wao mapacha wawili. Wapo watu walipata nafasi ya kuhudhuria harusi hii ukiachia watoto aliozaa na bi mkubwa ndiyo hawakuweza kupa mwaliko wa kuwepo kwenye harusi hii, hizo ni nyatu nyatu za mjini inasemekana harusi hiyo imefanyika jumamosi ya tarehe 28 ndani ya viunga ya kisiwa hiki huko Mauritius.

Saturday, March 28, 2015

PICHA nzuri ya mtoto wa Chris Brown

Mtoto wa Chris Brown, Royalty inasemekana ni mzuri sana ila mashabiki wanahoji ilikuwaje hadi mama yake Royalt akaingia anga za Chris? Kwa ajli eti hana vigezo vya warembo wanaochukuliwaga na Chris kama vile Rihanna..So precious! Chris’ baby mama, Nia Amey, posted a sweet pic of their doe-eyed daughter Royalty in honor of her turning 10 months old on March 27. Is it just us or does she bare a striking resemblance to Chris?!


KIBURUDISHO: Ashanti..........Gauni zuri

Ashanti akiwa kwenye mtoko jana usiku NewYork..amependeza

PICHA: Beautiful Millen........HILI GAUNI KWA CHINI NYUMA UNADHANI LIKOJE..JUST CURIOUS..

Millen yuko kwenye kampeni yake ya kutafuta matibabu ya endometriosis, tumtie moyo wanawake wenzake.

Pamoja na kuwa yuko nyumbani lakini kwenye hii picha makeup ya Zari imetulia.......NILISOMA MAHALI KUWA KASOMEA COSMETOLOGY...

Jiulize wewe unakuwa mrembo namna hii ukiwa nyumbani.....kujiremba ni kipaji..

KIBURUDISHO......Oh la laaaaa.....NICK MINAJ NA MEEK MILLS

Hawa watu wawili wapo karibu hadi mashabiki wanahisi ni wapenzi.....kama ndivyo basi mambo yako hawtttttt

MAMA WA WATOTO WALIOKUWA WAKIBAKWA NA BABA YAO HUKO KIBAHA APOKEA VITISHO TOKA KWA NDUGU WA MUME


Siku chache baada ya baba aliyedaiwa kubaka watoto wake wawili wakazi wa wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani kutiwa mbaroni na polisi, mama wa watoto waliokuwa wakitendewa unyama huo ameanza kupokea vitisho kutoka kwa  baadhi ya ndugu wa mume wake.

Bizarre: MWANADADA LIRA GALORE.........nyumba ndogo mpya ya RICK ROSS

Rick Ross‘s new concubineLira Galore popped up on everyone’s radar after she was picked over and passed around by rappers and singers such asJustin Bieber. Kutoka mtandao wa Blacksports

ASKOFU GWAJIMA ALIZIMIA AKIWA ANAHOJIWA POLISI NA KUPELEKWA HOSPITALI YA JESHI KURASINI........YADAIWA ALIKUWA HAJALA CHOCHOTE

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.