Sunday, July 22, 2018

Mrejesho wa mteja oda ya mito ya sakafuni na mito midogo





Hakika mteja wangu amefurahia kazi yake aliyonipa ya kumtengenezea mito mikubwa ya sakafuni na mito midogo ya kutupia.

Ni ukweli kuwa hadi mteja ananipa vipimo, anatuma pesa na anapokea oda yake hatujawahi kuonana uso kwa uso. Nipe oda yako ya mito ya makochi au mito ya chini sakafuni, natuma popote na nakuletea hadi ulipo.
Mawasiliano 0755200023 Sinza kamanyola

Friday, July 20, 2018

Pata saa hizi za ukutani seti ya 3 kwa bei 75,000







Saa hizi za ukutani za maua kwa seti ya pisi tatu unazipata kwa bei ya sh 75,000 tu hadi kwenye kiti chako. Mikoani natuma kwa gharama yangu. Pamba nyumbani  au toa zawadi

Mawasiliano 0755200023 text piga au whatsapp.
Tupo Sinza Kamanyola

Maduveti mazito na mashuka makubwa ya cotton


Maduvet mazito pamoja na mashuka ya cotton yanapatikana.
Kwa mahitaji nakuletea hadi ulipo na mikoani natuma kwa gharama yangu. Duvet tupu nzito bei ni 140,000
Shuka kubwa moja na duvet covet (ambalo ni kama foronya la godoro) ambapo unaweza kutumia hivyo hivyo au kupachika blanketi lako ndani pamoja na foronya nne bei ni 100,000
Mawasiliano 0755200023

Faux Fur carpets zipo





Faux fur carpets zipo kwa rangi sita, kubwa ni 150,00 na ndogo ni 100,000.
Makapeti ya manyoya laini sana ya faux fur ni laini sana kiasi kwamba unaweza kuwa nalo kwa ajili ya kulishikashika tu kuburudisha mikono na pia unaweza kuyatandika popote iwe ni sakafuni, kitandani,  kwenye kochi au mezani.

Mawasiliano 0755200023

Sunday, July 8, 2018

Foronya za mito ya makochi na makushen


Tuna designs zaidi ya 45 za vitambaa vya sofa, makusheni na foronya za mito ya kwenye makochi, vya mauamaua na plain.
Tupe vipimo tukutengenezee sofa, makusheni foronya na mito yenye vitambaa vya kiwango cha juu kabisa.

Zaidi njoo Whatsapp 0755200023
Sinza barabara ya Shekilango

Saturday, July 7, 2018

Frame za picha, Mafuta ya Nazi, Losheni


Je unahitaji vitu tofauti totauti vya nyumbani na vyovyote vya matumizi binafsi? Kama vile fremu za kuwekea picha za familia ukutani, picha za matukio mbalimbali kama vile graduation, harusi, ubatizo na mengine mengi. Fremu za kuwekea picha za ukubwa wa A3, A4 na nyingine ndogo ndogo? Vitu mbalimbali vya matumizi binafsi kama vile vipodozi, lotion, mafuta ya nazi au sabuni za kuogea?

Wasiliana nami 0755200023 nikurahisishie maisha yako. Unaoda, unalipia na nakuletea popote ulipo unapokea kadri ya oda yako kwa uaminifu mkubwa kabisa.

Piga / whatsapp 0755200023