Wednesday, August 30, 2017

Wateja wangu wapendwa ukioda leo unapokea leo leo.


Kazi ya kubandika wallpaper ikiendelea


Wallpaper zinapendezesha kuta za nyumba yako iwe ni sebuleni, jikoni au chumba cha kulala. Inadumu hadi miaka 15.
Wallpaper zipo.
Mawasiliano 0755200023

Tuesday, August 29, 2017

Ni hatua 3 tu. Unaoda, unalipia, unapokea


Asanteni wateja wangu kwa kuendelea kuniamini.
Vivi

Wallpaper michoro mipya na gundi zake zipo



Michoro / patterns / designs mpya za wallpaper zimeingia. Roll moja 45,000
Gundi 15,000
Mawasiliano 0755 200023
Sinza Kamanyola

Friday, August 25, 2017

Sasa unaweza kununua bidhaa toka China kupitia kwetu


Wapendwa wateja wetu, je kuna bidhaa yoyote ya kwako binafsi ya wanafamilia wako, ya nyumbani kwako au ya kwenye biashara yako (kwa mfano umefungua shule ya nursery/chekechea na unahitaji michezo ya watoto) ambayo unaitaka kwa kiwango na kwa gharama nafuu? Habari njema ni kwamba sasa tuna ofisi China na unaweza kuoda bidhaa unayoitaka kupitia kwetu. Tutakuchagulia, tutakuonyesha mbalimbali za aina ya unayoihitaji, tutakupa bei ya kununulia na tutakushauri makadirio ya bei ya kusafirishia.
Wasiliana nasi tununue pamoja kutoka China. Mawasiliano 0755200023.
Sinza Kamanyola

Taulo kubwa za kuogea zipo



Bei 25,000

Duvet halisi (blanketi) lipo


Duvet halisi (blanket) lenye cover lake, shuka 1 na foronya 4 zimeingia.
Bei 120,000
Sinza Kamanyola
0755200023
Tunatuma popote

Thursday, August 24, 2017

SALE YA USED... radio king'amuzi feni na tv vyote 200,000.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Tunapokea vitu ambavyo ni karibia na vipya katika makundi ya vitu binafsi, vya nyumbani na matoi kwa ajili ya kukuuzia. Tuwasiliane

Shuka zenye pazia zimekuja




Kwa wale mliokuwa mnasuburia shuka zenye pazia zimekuja.
Shuka 2 size 7 kwa 6 foronya 4 na pazia mbili kila moja mita moja na nusu. Bei sh 90,000
Tupo Sinza Kamanyola
0755200023
Tunatuma popote

Shuka nzito, duvet cover na foronya zipo


Bei 65,000 unapata shuka moja, duvet cover moja na foronya nne.
Tupo Sinza Kamanyola
0755200023

Saturday, August 19, 2017

FORONYA ZA MITO YA KWENYE MAKOCHI ZIPO

Foronya za mito ya kwenye makochi zipo bei 9,000
Tunatuma popote na tunapokea oda.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Thursday, August 17, 2017

Je, hupendi mrundikano ila unapenda hela?

Naamini kabisa kuna watu wengi ambao wana nguo, vitu vya nyumbani na matoi ya watoto ambayo ni kama mapya ila wanapenda kuyaondoa nyumbani kwao ili kuepuka mrundikano lakini wakati huohuo wakitaka angalao wapate kipato kutokana na vitu vyao hivyo.

Kama wewe ni mmojawapo wa wenye vitu kama hivi wasiliana nasi 0755200023 ili tuweze kukuuzia vitu vyako kwenye sale tunayofanya kila jumamosi dukani kwetu.

KUMBUKA UNACHOSEMA CHA NINI MWENZIO ANASEMA ATAKIPATA LINI

Shuka za cotton zipo




Shuka 2 na foronya 4 bei 55,000
Mawasiliano 0755 200023
Tupo barabara ya Shekilango Sinza Kamanyola tunafungua saa nne asbh na kufunga mbilki usiku
Tunatuma popote
Kama ungependa nikuadd kwenye goup la updates za nguo, nyumba na matoi nijulishe kwa meseji.


Asanteni sana wateja wangu kwa kuendelea kuniamini


Mawasiliano 0755200023 tunatuma popote kwa uaminifu mkubwa.

Top za kuvalia na suruali

24,000

Mawasiliano 07552 200023
Tupo barabara ya Shekilango Sinza Kamanyola tunafungua saa nne asbh na kufunga mbilki usiku
Tunatuma popote

Kama ungependa nikuadd kwenye goup la updates za nguo, nyumba na matoi nijulishe kwa meseji.

Maua ya kupamba meza ya sebuleni



Pamba meza zako za sebuleni kwa maua haya ya vesi za pembe nne.
Bei 50,000

Mawasiliano 0755 200023
Tupo barabara ya Shekilango Sinza Kamanyola tunafungua saa nne asbh na kufunga mbili usiku
Tunatuma popote

Kama ungependa nikuadd kwenye goup la updates za nguo, nyumba na matoi nijulishe kwa meseji.

Wednesday, August 16, 2017

Blauzi za chiffon

24,000

Pamba sebule yako kwa kutumia vesi hizi mpya za mezani

Vesi za kiwango za glass nene. Bei 50,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023
Tunatuma popote

Foronya, mito, maua, vesi na vioo vya kupamba ukutani

Seti ya vioo vitatu vya kupamba ukuta, vyote bei 50,000

Changamsha sebule na makochi kwa mito iliyovalishwa foronya zenye rangi za kuvutia.
Bei ya foronya moja ni 10,000

Vesi na ua lake 40,000
Toa oda yako, karibu tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano text, simu, whatsapp 0755200023

Tuesday, August 15, 2017

Kaptula za kike, sketi na blauzi za shifoni, za ofsini za vifungo mbele


Nguo mpya zimeingia toka Italy. Bei ni nafuu kabisa hakuna inayozidi elfu 25.
Tupo Sinza Kamanyola na tunakupelekea popote ulipo.
Karibu dukani au tuambie tukuletee ulipo.
Mawasiliano 0755200023