Monday, May 30, 2016

Hata maua yasiyo hai yanafaa kupendezesha nje ya nyumba

 
Japo wengi wanapendelea kupamba maua yasiyo hai (artificial) ndani ya nyumba, lakini pia maua haya yanapendeza nje ya nyumba. Ili yavutie inakupasa uchague yale ambayo kimuonekano yanakaribiana kabisa na yaliyo hai. Yapo maua yasiyo hai ambayo hadi mtazamaji ayaguse ndipo anaweza kugundua sio hai.

Unaweza kupata maua yasiyo hai  kwa

Friday, May 27, 2016

Maua ya kupamba ndani, fremu na vyungu

Hey wapenzi, kaeni mkao wa kula vitu vizuri vipo njiani. Mara vikifika nitawajulisha..thx dears





Thursday, May 26, 2016

Namna ya kupanga vyakula ndani ya jokofu


Haishangazi jokofu kutoka kuwa katika hali ya usafi na mpangilio na mara moja kuhamia kwenye mvurugano na harufu mbaya za vyakula vilivyoharibika ambavyo hata havijulikani.

Lakini ni kwa namna gani katika maisha ya nyumbani unavyoweza kuanza mchakato wa kuweka mpangilio kwenye jokofu na friza? Kabla hatujaangalia hilo ni vyema tukakubaliana katika mambo matatu ambayo ni; si kila familia inanunua vyakula vingi vya

Wednesday, May 25, 2016

Vyombo vizuri, vikombe, sahani, sufuria na glasi


Vikombe maridadi kabisa, vinavutia kwelikweli

Sahani za kisasa kubwa na za maumbo ya kisasa tuwe nazo nyumbani tusizionee kwenye sherehe na mahotelini tu.

Usikae na sufuria hadi zivunjikevunjike mikono. Wagawie wengine wale wasiokuwa na kipato kikubwa. Watakushukuru

Kuona bei click hapo juu kwenye VINAVYOUZWA na kununua piga 0755 200023. Asante

Tuesday, May 24, 2016

Mambo matano ya kuzingatia ili friji lako lifanye kazi vizuri na kwa miaka mingi

Bila shaka unaponunua jokofu, unategemea lifanye kazi vizuri kwa miaka mingi ijayo. Hata hivyo ili jokofu lako liweze kutimiza matarajio hayo, hupaswi kuliacha tu bila utunzaji.  Njia sahii za utunzaji zitasaidia kifaa hiki kufanya kazi bila matatizo na kwa muda mrefu. Tupate ujuzi ufuatao

Monday, May 23, 2016

Zijue rangi 5 zenye mvuto kwa mlango wa mbele

Njia ya haraka ya kuleta mvuto wa nyumba ni kupitia mlango wa mbele. Mlango huu ni utambulisho wa mwenye nyumba na pia unasema mengi kuhusu nyumba. Usishangae pia wengi wanapenda kupigia picha kwenye mlango wa mbele.

Kwanini uridhike na mlango wa mbele wenye rangi ile ile ya

Friday, May 20, 2016

RAMADHANI INAANZA, JIPATIE VIKOMBE KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU

Hey wapenzi, kama tujuavyo mwezi mtukufu uko njiani na vikombe ni muhimu sana kwa ajili ya daku na futari.

Kununua njoo 0755200023

HAPA NA PALE NYUMBANI: FREMU ZA UKUTANI, KUSAFISHA FRIJI, MAUA YA KUTUNDIKA

Unaweza kufremu nukuu unazozipenda na kupendezesha ukuta wako kama hivi. Tena hii itakuwa ni gharama nafuu kwani hutakuwa na haja ya kununua michoro, ni wewe tu kuprint na kununulia fremu ambapo ni rahisi zaidi.

Angalau mara moja kwa mwezi toa shelfu na droo za friji lako uzisafishe kwa maji ya uvuguvugu sponji na sabuni. Zisuuze acha zikauke na zirudishie taratibu bila kulazimisha usije ukavunja.

Picha hii inakupa wazo la unavyoweza kutengeneza hanger za kutundikia maua ya angani nje ya nyumba yako.

Kwa dondoo zaidi endelea kutembelea blog yangu. Pia kama unayo ungependa kushea nijulishe 0755 200023. Kuna aliyeniambia anaosha sufuria kwa vim kitu ambacho sikuwahi kujua, ukishea ujuzi unajisikia vizuri.

Thursday, May 19, 2016

Achana na vitu hivi kwani vinakusababishia mrundikano


Moja ya sababu za kuwa na mrundikano ni kutokujua wakati wa kuachana na baadhi ya vitu. Vitu vingi haviji na tarehe ya mwisho wa matumizi, na mara tunapopeleka kitu nyumbani, tunajitahidi kuwa tunakitumia hata pale ambapo kuna ukweli huwa hatukihitaji. Nimeandaa orodha ya

Tuesday, May 17, 2016

Njia 5 za kufufua sofa zilizochoka



Kama sofa zako zinaonekana kuchoka, lakini bado hujakata tamaa kwamba uachane nazo jaribu kuzifufua kwa kutumia njia  moja au zaidi ya hizi tano. Unaweza kushangaa ni kwa namna gani utapata matokeo makubwa na ya kuridhisha.

Tupia mito mipya
Njia rahisi na nyepesi kuliko zote ya kufufua sofa ni kuweka

Monday, May 16, 2016

Ili zulia lako lidumu usilifanyie mambo haya matano

 
Zulia sio ngumu kulitunza kama baadhi ya watu wanavyofikiri, ila kama ilivyo kwa kitu kingine chochote linapaswa kutunzwa ili liweze kudumu na kubaki kwenye ubora wake kwa muda mrefu. Kama ndivyo, hivi ni vitu vitano ambavyo hupaswi kuvifanya kwenye zulio hilo.

Usilisugue kwa

Friday, May 13, 2016

DONDOO: Umbo la carpet linatakiwa liendane na umbo la fenicha

Angalia jinsi meza ya duara inavyokaa vizuri kwenye carpet la duara. Inaleta ukakasi kuona kinyume chake.

Mbali na meza ya pembenne kuwa juu ya carpet la pembenne ni kwamba fenicha zote zinatakiwa kuwa juu ya capet ili anayetaka kukaa anapovuta kiti miguu yake iwe juu ya carpet.

Inaleta ukakasi kuona kuwa mtu kaweka ki carpet kidogo halafu wakaaji miguu hailifikii. Raha ya capret ni lisikike kwenye nyayo.

Thursday, May 12, 2016

Uzoefu wangu katika ziwa Jipe

Kutembelea sehemu mbalimbali ambazo sijawahi kwenda ni kitu nakipenda sana, kwahivyo katika sikukuu za mwisho wa mwaka nilifanikiwa kutembelea ziwa Jipe ambalo liko Usangi wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Naamini utafurahia na kuhamashika pengine na

Wednesday, May 11, 2016

Namna ya kuchagua rangi ya sofa

Iwe unaliita kochi au sofa, rangi ya hiyo fenicha kubwa sebuleni kwako inaweza kuleta matokeo makubwa kwenye muonekano wa chumba hicho. Kama zilivyo fenicha nyingine kubwa unazonunua kwa ajili ya nyumbani, sofa lako mpya unategemea kuishi nalo kwa miaka mingi. Sofa, kitanda na meza ya chakula ni fenicha kubwa tatu nyumbani ambazo zinachukua hela nyingi kuzinunua.

Huenda ni

Tuesday, May 10, 2016

Haya ni maswali 10 (na majibu yake) ninayoulizwa mara kwa mara kuhusu wallpaper

 
Kuna mwamko mkubwa wa mapambo ya nyumbani kwasababu  wenye nyumba wengi wa kileo wanataka nyumba zao zivutie. Sio ndani tu bali hata nje. Kwa sababu hii ushauri na mazungumzo kuhusu mapambo ya nyumbani ndio yameshamiri kwa wengi wanaojenga nyumba zao kwa sasa.
Na

Monday, May 9, 2016

ASALI FRESH KUTOKA SHAMBANI TABORA SASA INAPATIKANA IKIWA IMEKAMULIWA AU MASEGA


Namna ya kubandika stika za mapambo ukutani




Stika za mapambo ni karatasi nyepesi ambazo zimekatwa katika miundo tofauti ya maua. Stika hizi zinabandikwa ukutani kwa ajili ya kupendezesha nyumba. Bila shaka msomaji wangu umeshasikia kuhusu karatasi nyingine za ukutani maarufu kama

Saturday, May 7, 2016

FENICHA MARIDADI NA ZA KIFAHARI ZISIZO NA MPINZANI BONGO NI ZA CLEOPATRA



Cleopatra fenicha wana fenicha zote za nyumbani na ofisini kuanzia dressing table, dining table, conference table na nyingine nyingi zenye urembo wa kuvutia na zote ni mbao ngumu toka Misri. Hakika fenicha zao ni nzuri kuliko malkia Cleoptra. Ukinunua kwa jina la Vivi unapewe punguzo la 25% . Wako Pugu road Dar es Salaam.

Tuwasiliane 0755 200023

Friday, May 6, 2016

HIZI ZINAWEZA KUWA ZAWADI SAHIHI KWA AJILI YA MOTHER'S DAY



Sahani nzuri sana za rangi mbalimbali na umbo la malovee za chakula kwa mtu mmoja mmoja. Kuwa na vyombo vya kipekee.

Folder la mama mfanyakazi la kuwekea kabrasha zake anapoenda mkutanoni.

Kununua njoo 0755 200023. Kuona bei bonyeza hapo juu kwenye vinavyouzwa.

Wednesday, May 4, 2016

Mapambo haya matano madogo yanapendezesha nyumba


Nyumba kupendeza ni mkusanyiko wa rangi na vitu mbalimbali vilivyomo ndani mwake. Mapambo haya matano ni kati ya yale madogo kabisa lakini yataleta mguso wa kipekee ndani ya

Tuesday, May 3, 2016

FREMU NZURI ZA KUWEKEA PICHA


Picha ni kumbukumbu kuwa mwenye hiyo sura aliwahi kuzaliwa duniani. Ili kuweka kumbukumbu nzuri ya picha zako za matukio ambayo usingependa kuyasahau ziweke kwenye fremu na kuzitundika ukutani kwenye nyumba unayoishi. 

Kununua fremu hizi njoo 0755 200023. Kuona bei bonyeza kwenye VINAVYOUZWA hapo juu. Asante

Namna ya kuwa na bustani yenye afya

Faida za kuwa na bustani nyumbani ni nyingi na mojawapo ni kuleta hewa safi katika mazingira unayoishi. Kama sayansi inavyotuambia kuwa mimea inatumia hewa chafu na kuzalisha safi.  Ili kuwa na bustani yenye afya kinachoangaliwa sio ukubwa wa jitihada unazoelekeza kwenye bustani hiyo bali ni namna na wakati sahihi wa kuelekeza jitihada hizo.

Vitu hivi vitano ni muhimu ili

Monday, May 2, 2016

UNAWEZA KUBANDIKA MAUA YA STIKA ZA UKUTANI KAMA MBADALA WA WALLPAPER



Sio tu wallpaper, sticker za ukutani ndio habari mpya kwa sasa. Kuchagua ya kununua njoo 0755 200023. Kuona bei click kwenye Vinavyouzwa hapo juu.

Namna ya kubuni bustani nzuri ya maua


Bustani nzuri ni eneo la kuvutia nje ya jengo lolote. Bustanini kunaweza kuwa mahali pazuri kwa kufurahia mapumziko ya jioni wakati wa kiangazi. Hata hivyo kabla hujaanza kutumia muda wako na pesa kuanzisha bustani ni vyema kutafiti kwa umakini na kuweka mipango mahususi kama

Sunday, May 1, 2016

JIKO DOGO LA KISASA LINA VIFAA HIVI

Deep fryer, usichomee tena chips kwenye sufuria mafuta yanaweza kusababisha ajali wakati wa kuipua.

Usichemshie tena nyama kwenye sufuria za kawaida kumaliza gesi. Tumia pressure cooker.

Sufuria na kikaangio vyenye ubora wa hali ya juu na hazing'ang'aniani na chakula (non stick).

Toaster kwa wewe unayependa kukausha mikate.

Badala ya kuweka mfuko mzima wa napkin/tissue mezani chukua chache upachike kwenye hii napkin holder.

Kununua njoo 0755 200023 na kuona bei click kwenye vinavyouzwa hapo juu.