Friday, July 29, 2016

Vifaa vya jikoni ninavyopendelea..




















Mbao za kukatia za aina na rangi mbalimbali, glass za wine, dinner set na sufuria. Kununua njoo whatsapp utume chombo unachohitaji 0755 200023

Thursday, July 28, 2016

Ufuaji wa nguo za wanawake unazingatia aina ya nguo

 
Kujua ni lini nguo ya mwanamke ifuliwe inategemea aina ya nguo, anasema Bi Winnie Mamkwe ambaye ni mfuaji kwenye kituo cha kufulia nguo. Anaendelea kutujuza kuwa baadhi ya nguo zinaweza kuvaliwa mara kadhaa wakati nyingine zinatakiwa kufuliwa kila baada ya kuvaliwa mara moja. Tujielimishe kuhusu ufuaji nguo za wanawake kuanzia za ndani hadi

Tuesday, July 26, 2016

Namna ya kuchagua rangi ya kaunta ya jiko

Kaunta ya jiko lako inatakiwa kuwa eneo muhimu sana la kuzingatia katika harakati za kuwa na jiko linalopendeza, sio tu kwa ajili ya muonekano wake bali pia kwa ajili ya gharama za kununua na pia kuisimika. Kama tujuavyo wenye kujenga nyumba za kisasa wengi wanapendelea kuweka kaunta ya marble ambapo gharama yake si ndogo. Unapokuwa umechagua kuweka malighafi hii ambayo ni jiwe la asili basi kinachofuata ni

Monday, July 25, 2016

Faida za kuwa na jiko la nje

Zamani ilikuwa kawaida kwa familia kuwa na nyumba kubwa ya kulala na nyingine dogo pembeni ya jiko. Uwepo wa nyumba za kisasa zenye chumba cha jiko ndani yake unapelekea kupotea kwa dhana ya kuwa na jiko la nje.

Iwe unajenga nyumba mpya au unaifanyia marekebisho hiyo ya zamani, kwenye makala haya nitakuonyesha faida kadhaa za

Friday, July 22, 2016

Namna ya kutunza matandiko mbalimbali yanayokamilisha kitanda

Kitanda kilichokamilika kwa ajili ya kupanda na kulala kina muunganiko wa matandiko mengi. Nimehojiana na Mary Masho, mwanadada mwenye fani ya utunzaji wa nyumba na hapa anaainisha aina ya matandiko  yanayokamilisha kitanda na namna ya kuyatunza. Twende pamoja tuelimike kama ifuatavyo.

1.  Mito
Mafuta na uchafu kutoka kwenye nywele na nyuso zetu zinazama

Tuesday, July 19, 2016

Zulia la kutupia kwenye corridor linavyoweza kupendezesha ndani


Kazi ya kupendezesha nyumba huwa haina kikomo na ni moja kati ya shughuli inayomfurahisha mwenye nyumba kwani inampa nafasi ya kuweka upendo wake ndani ya nyumba yake kwenye vitu anavyovipenda.
Mara nyingi wengi wanakuwa wanaangalia mambo ya rangi, fenicha, sanaa na vitupio kadha wa kadha lakini wanasahau corridor. Corridor hapa namaanisha ile njia iliyo ndani ya

Monday, July 11, 2016

Tabia 5 za kukuwezesha kuwa na bafu safi la kisasa

Wengi hatupendi kufanya usafi bafuni, ni kawaida. Awali ya yote napenda tukubaliane kwamba katika makala haya bafu safi la kisasa linamaanisha chumba chenye eneo la kuogea, kupigia mswaki na kujisaidia.

Ni wachache wanaopenda kujipinda kusugua kuta zilizojenga utando wa sabuni au hata kusafisha bakuli la choo. Uzuri ni kwamba kuna tabia unaweza kujizoesha na

Sunday, July 10, 2016

Namna ya kutumia maji kwa uangalifu bafuni


Kuna msemo unasema kuwa maji ni uhai, bila maji sisi na vyote vilivyomo kwenye sayari dunia visingeweza kuwepo.

Ukishakuwa umelijua hilo basi ni vyema kufahamu namna na mbinu za kutumia maji kwa uangalifu ndani ya mabafu ya

Thursday, July 7, 2016

Mitindo mitano ya kutandika kitanda kipendeze


Hata kama hupendi kutandika kitanda lakini hakuna ubishi kuwa unapenda muonekano wake kikiwa kimetandikwa, na kwa namna yoyote ile utapenda kitanda kiwe kimetandikwa pale mtu mwingine anapoingia chumbani.

Kitanda kilichotandikwa vizuri ni kile chenye muonekano wa kuvutia, kikiwa hakina makorokoro mengi na pia ni

Monday, July 4, 2016

Mambo machache ya kuzingatia unapohitaji viti vya meza ya chakula

Unapohitaji viti vya meza ya chakula kuna njia mbili, ya kwanza ni kutengenezesha kwa mafundi na ya pili ni kununua vilivyo tayari ambapo mara nyingi hivi vinauzwa pamoja na meza yake.

Moja ya jambo muhimu unalotakiwa kufahamu ni kama unahitaji viti vilivyoshonewa vitambaa na

Saturday, July 2, 2016

MAUA YA KUPAMBA NDANI YENYE UBORA WA HALI YA JUU SASA YAPO





Maua haya ni ya quality ya uhakika kama ilivyo kawaida yangu kutoa vitu vya uhakika. Vesi zake ni za udongo
Wewe unayehitaji njoo 0755 200023..

Friday, July 1, 2016

SOFA NA DINING TABLE ZILIZOENDA SHULE...Ukienda kwa jina la Vivi unapewa discount, wasipokupa nijulishe.









For first time in East Africa....SALONI Turkish sofa set .... STATUS Italian furniture... Under one roof at CLEOPATRA Furniture center 
0734-733 333 
Nyerere road plot 94 - before airport

Njia 4 za kufufua muonekano wa ndani kwa haraka na gharama nafuu.

Kuna njia ambazo unaweza kufuata ili kufufua muonekano wa ndani ya nyumba yako bila kuhusisha kazi kubwa na wala gharama kubwa. Mara nyingi, kuongeza au kubadilisha tu vitu vichache inatosha kabisa kuleta upya na mvuto. Zaidi ya mvuto na upya, pia inanyanyua nafsi za wanafamilia wanaoishi humo. Hata hivyo kwa matengenezo na maboresho makubwa, mwenye nyumba anatakiwa kukaa atulie ili ajue gharama na