Wednesday, December 14, 2016

Namna ya kupamba mti wa krismasi

Umeshaanza kupata hamasa ya sikukuu? Tunaona mitaani na kwenye maduka makubwa ambavyo wauzaji wanauza mapambo mbalimbali ya sikukuu huku kwenye majengo makubwa na ofisi mbalimbali wakiwa wameshaweka tayari mapambo ya mti wa krismasi. Kila mwaka msimu huu wa sikukuuu duniani kote ni shamarashamra za aina yake.

Nyumbani kwako huenda tayari unao mti wako wa krismasi au

Unaponunua mti wa bandia wa Krismasi zingatia haya

Kwa miaka kadhaa sasa baadhi ya Watanzania wamekuwa na utamaduni wa kupamba nyumba zao kwa kutumia miti bandia ya krismasi kipindi cha msimu wa sikukuu hiyo. Miti hii imepata umaarufu kwa kasi kwani inasaidia kupunguza usumbufu na pia unaweza kuhifadhi baada ya sikukuu na kutumia tena mwaka inayofuata.

Kutokana na kuwepo kwa

Monday, December 12, 2016

Home Theatre HT iwe faraja ya kweli kwako!

 
Badala ya mtindo wa zamani wa kuwa na redio, siku hizi mambo ni kwa home theatre. Nimeongea na Bi Jacky Ngoma 0679 414 133 ambaye ni mtaalam wa mambo haya kutoka  kampuni ya Jaden Home Store walioko Kijitonyama Dar es Salaam, na hapa anatuelimisha zaidi home there ni kitu gani haswa. Anaanza kwa kusema kuwa Home theatre ni

Wednesday, December 7, 2016

UREMBO....Pure skin ni suluhisho kwa ngozi yenye mafuta mengi


Je una mafuta mengi usoni? Oriflame pure Skin inasaidia yafuatayo kwako mwenye ngozi ya mafuta (kumbuka kama huna uhakika na aina ya ngozi yako nijulishe tukupime).

Huondoa chunusi sugu
Hung'arisha ngozi
Hupunguza vitundu usoni
Huondoa mabaka

Ni kwa umri wowote (all ages) ila kwa ngozi ya mafuta tu.

Mawasailaino 0755 200023

Usisahau kuja kunishukuru baadaye!

AFYA KWANZA:....Trevo ina uwezo wa kuongeza au kupunguza uzito

Chakula chochote kile ni dawa endapo kitatumika kadri ipasavyo. Trevo ikitumiwa kama ipasavyo ina uwezo mkubwa sana wa kurekebisha uzito. Kwamba mtu uwe na uzito unaoendana na urefu wa  mwili wako. Tumia Trevo kuongeza ama kupunuza uzito na kuwa na uzito stahiki. 

Mawasiliano 0755 200023. Usisahau kurudi kunishukuru!

Tuesday, December 6, 2016

AFYA KWANZA: Trevo ni mkombozi kwa wenye VVU, Kisukari na Presha na akili ya watoto

Mpendwa msomaji wangu, sijui kama una habari njema kuhusu Trevo kwa ajili ya wenye shida ya afya na wasio na shida.
Trevo ni mchanganyiko wa mimea na matunda 174 ambao umeonyesha mafanikio makubwa kwenye afya ya binadamu. 

Vipimo vya mchanganyiko huu hutegemea na umri. Watoto walio chini ya miaka miwili hawaruihusiwi kutumia.

Kwa wenye miaka miwili na nusu hadi 12 tumia nusu kifuniko asubuhi na jioni. Hii huwasaidia kurejesha uwezo wao wa kuakili na kufikiri kuwa mkubwa.

Kwa watu wenye presha na kisukari za aina zote yaani juu na chini wanatumia nusu kifuniko na kuchanganya na maji kidogo kila baada ya masaa manne kwa siku 7 na hali ya afya inapotengemaa wanarudi kutumia kifuniko kimoja asubuhi na kimoja jioni.

Wenye VVU lakini afya yaijayumba wanatakiwa kutumia kifuniko kimoja mara 3 kwa siku huku wale wa VVU na afya iliyotetereka wakitumia vifuniko viwili mara 3 kwa siku na wale mahututi wakitumia vitatu mara tatu. Mara wanapopona wanarudi kwenye kifuniko  kimoja asubh na kimoja jioni.

Wagonjwa wote kama wana dawa za hospitali wanazotumia waendelee nazo wasiache na kama dawa wanazotumia ni kali sana hawana budi kupata ushauri wa daktari.

Magonjwa mengine ya miguu kuwaka moto, misuli kukaza, moyo, figo, kansa, nguvu za kiume, macho na vidonda vya tumbo watumie kifuniko kimoja mara 3 na afya ikitengemaaa warudi kwenye kimoja mara 2. Matumizi yote ya trevo ni kwa wakati wa mwanga tu, usitumie usiku.

Usisahau kuja kunishukuru. Chupa moja ni 172,000/ Tuwasiliane kupitia 0755 200023

Saturday, December 3, 2016

UREMBO: Linda ngozi yako isiharibiwe na jua kwa kutumia lotion ya Son Zone

Sun Zone inatakiwa kuwa nawe kwenye pochi yako kila wakati kwa ajili ya kulinda uso na sehemu za mwili zilizowazi zisiharibiwe na jua kali huku ikikuacha ukiwa umenawiri. Kwa mahitaji tuwasiliane 0755 2000 23.
Muonekano mzuri unakuongezea kujiamini. Tupo Moroko

Namna ya kuboresha hali ya hewa ndani ya nyumba

Ulishafikwa na tatizo la kuingia nyumbani na mara kichwa kinaanza kukuuma kwa hewa nzito iliyopo? Au labda umegundua harufu ambayo huifurahii ndani ya nyumba yako na haielekei kuisha? Hizi zote ni dalili za haja ya kuboresha hali ya hewa ya ndani ya nyumba.

Watoto na watu wenye mzio wanaweza kuhisi mabadiliko ya hewa ndani ya

Thursday, December 1, 2016

Namna ya kudumisha usafi unapokuwa na wageni wa kulala

Msimu wa sikukuu unakaribia na wapo wanaopenda kuwa na wageni wa kulala nyumbani kipindi hicho. Ila hawapendi kupoteza mpangilio na usafi wa nyumba kutokana na ugeni.

Tuangalie unachotakiwa kufanya ili kudumisha usafi na mpangilio kwenye maeneo ambayo wageni wa kulala wanaingia wawapo nyumbani kwako. Maeneo hayo ni