Sunday, January 3, 2016

HOME DECOR HAPA NA PALE:......MTO WA KOCHI, POCHOPOCHO, RANGI

Hili kochi na huo mto wake wa orange bila shaka utakubali ni staili ya kipekee katika mito ya makochi.

Naamini umejiandaa kuanza wiki ya kwanza ya mwaka mpya vizuri kama hili pochopocho.

Mwaka huu jinafasi na rangi kwa raha zako.

Usisahau kunishirikisha decorations za nyumbani kwako...chochote ndani na nje ya nyumba. Piga/whatsapp 0755200023

No comments:

Post a Comment