Friday, January 8, 2016

NIKO MBIONI KUANZISHA COLLECTION YANGU YA VITU VYA KUPAMBA NDANI

Wapenzi, niko mbioni kuanzisha collection yangu ya vitu vya mapambo ya ndani na nimevipa jina la Vivi Machange Collection (VMC). Mojawapo ni huu utepe wa kupamba meza, ipo ya saizi ya meza ya kahawa na ndefu zaidi ya meza ya chakula. Natumai mtaniunga mkono...
Huu ni utepe wa meza ya kahawa kutoka VMC, pande zote zinatumika, upande mmoja unaonekana hivi.
Na upande wa pili unaonekana hivi. Bei ya huu utepe ni elfu 25.

No comments:

Post a Comment