Monday, January 4, 2016

VITU VIZURI....Wallpaper za Quality ya Kimataifa


 Wallpaper zime match na sofa
Wallpaper mteja kaweka hadi jikoni (by the way fahamu kuwa wallpaper hizi unaweza kuweka hata ukuta wa tiles) na kwenye corridor upande mmoja. Cha kuzingatia hasa kwenye corridor ni zisiwe za giza.


Hey mpenzi,  usisikie kila wallpaper ukadhani ni ya kiwango. Wallpaper za ukweli ambazo zina viwango vya kimataifa toka UK na Uturuki sasa zinapatikana. Usidanganyike na wallpaper za bei chee ambazo zinachanikachanika na kumsumbua fundi wakati wa kubandika. Au unaweka na zinabanduka baada ya siku 2, sisi tutakuelewesha ila uamuzi wa mwisho ni wako.

Roll 1 la urefu wa mita 10 na upana wa nusu mita ni sh 100, 000. Gundi yake ni elfu 30 na ufundi ni elfu 25 kwa roll. 

Kama wewe au mtu unayemjua anahitaji tuwasiliane nikuelekeze uende uchague ukiridhika kuamua kununua nijulishe nikupe namba ya siri ya discount. Karibu sana na hakika hutajutia hela yako. 

Nakupenda ndio maana nakutafutia vitu vizuri. Kwa wanaonijua kwenye personal level na ambao nimeshafanya nao kazi hizi wanajua ni kwa namna gani nilivyo na jicho la accuracy. Kwahivyo ukiona hadi nime recommend kitu/mtu ni kwamba nimeshakifanyia kazi (nina uzoefu nacho) na kuwa ni cha ukweli na uhakika.


No comments:

Post a Comment