Sunday, July 9, 2017

Blauzi kubwa pana nzuri za ofisini za chiffon zipo




Blauzi kubwa pana nzuri za ofisini za chiffon zipo kwa rangi 5.
Tunauza jumla na rejareja.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023
Bei 21,000 ukitaka tukuletee hadi kwenye kiti chako inawezekana.


Saturday, July 8, 2017

Suruali za jeans za kubana chini

Suruali za jeans chana za kubana chini zipo size zote, jumla na rejareja.
Bei 28,000
Tupo Sinza Kamanyola.
Tunapeleka popote.
Usiporidhika unarudisha
Mawasiliano 0755 200023

Friday, July 7, 2017

MAGAUNI MAFUPI MAPANA

Magauni mafupi mapana yapo. Yanafaa kwa wanawake wote hata wajawazito.
Tupo Sinza Kamanyola
Tunapelekea popote na usiporidhika unarudisha.
Bei 30,000
Mawasiliano 0755 200023

Sketi nzuri zipo size zote



Sketi nzuri zipo size zote. 
Tupo Sinza Kamanyola
Tunakupelekea popote ulipo.
Mawasiliano 0755 200023

Raba Nyeupe za Nike na Adidas Original


ingizo jipya
raba za Nike na Adidas
made in Vietnam (kumbuka viwanda vya nike na adidas ndipo viliko)

Adidas bei ni 55,000
Nike bei ni 70,000
tupo wazi hadi saa 2 usiku⁠⁠⁠⁠
Mawasiliano 0755 200023

Thursday, July 6, 2017

Tumeanza kushona mapazia

Hello wapenzi,
Tumenza kushona mapazia. 
Bei ya pazia moja ni elfu 30
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

TANZIA:....Mwanamuziki mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia

Mwanamuziki mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia leo saa mbili asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu kwa takriban wiki mbili, mwanaye Hamad Dede amethibitisha.

Hamad Dede amesema mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar es Salaam, na kwamba ratiba na taratibu zote zitatangazwa mara zitakapokamilika kupangwa.

HANDBAG POCHI NZURI NA ZA KISASA




Pochi nzuri na za kisasa bei 40,000 kwa 45,000
Tupo Sinza Kamanyola.
Tunaweza kukuletea hadi kwenye kiti chako.
Usiporidhika unarudisha.

Mawasiliano 0755 200023


ZILIZOVUMA:...Rob Kardashian acharuka.....aposti picha za uchi za Blac Chyna


Nyota wa kipindi cha luninga cha maisha halisi cha kutoka Marekani cha Keeping up with the Kardashians amecharuka na kuanza kumtuhumu na kuposti picha na video za uchi za star mwingine ambaye ni Blac chyna na mama wa mtoto wao mmoja Dream, akiwa na wanaume wengine.

Nyota huyo amedai kuwa si chini ya mwezi mmoja Blac Chyna alitembea na wanaume nane. Hali imekuwa taharuki mitandaoni kiasi kwamba uongozi wa instagram ukafikia uamuzi wa kufunga akaunti ya Rob.

Mastaa wengine wa nchini humo ambao ni pamoja na Snoop dog na TI wameamua kuingilia kati na kumtaka Rob aache kuleta mambo binafasi instagram kwani kama aliamua kuoa malaya atulie aache kusumbua watu na kama ana hela sana aende akanunue mwingine.

Wednesday, July 5, 2017

ZINAZOVUMA: Wakili amejitoa kesi inayomkabili Raisi wa TFF

Wakili Jerome Msemwa amejitoa kwenye kesi namba 213/2017 inayomkabili Raisi wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake kwa kutopata maelekezo sahihi kutoka kwa wateja wake.

ZINAZOVUMA:....Yusuf Manji kusomewa mashtaka yake wodini


Mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji amelazwa katika taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili na atasomewa mashtaka yake hapohapo.

Yadaiwa tayari maafisa wa mahakama wameelekea hospitalini hapo kwa ajili ya kumsomea ndugu Yusufu Manji mashtaka yanayomkabili.

Suruali za kisasa za wanawake


Suruali za kisasa za wanawake za kukamatia chini size zote rangi ya kijani jeshi, damu ya mzee na bluu zipo.
Bei 28,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Suruali za Jeans zipo bei 28,000

Suruali za jeans za wanawake wa size zote zipo. Wembamba kwa wanene.
Tupo Sinza Kamanyola
Tunakuletea popote na usiporidhika unarudisha
Bei 28,000
Mawasiliano 0755 200023

Tuesday, July 4, 2017

Pochi mkoba handbag


Mkoba/ Pochi / Handbag golden silver unatundika begani au unabeba mkononi.
Best quality.
Bei 45,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunapelekea popote
Ukitaka nikuongeze kwenye group la maingizo mapya nijulishe 0755200023

Monday, July 3, 2017

Wallpaper zipo




Mzigo mpya wa wallpaper umeingia.

Roll 45,000
Gundi 10,000
Tupo Sinza Kamanyola.

Mawasiliano 0755 200023

Viatu vyeupe vipo


Viatu vyeupe vipo vinafaa sana kwa shughuli ya harusi.
Bei ni 45
Size zote za wakubwa zipo.

Tunakutumia popote
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Tuesday, June 20, 2017

Pochi handbags nzuri na imara

Pochi nzuri na imara.
Bei 45,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Gauni nyeupe fupi za lesi


Gauni za lace fupi rangi nyeupe na dark bluu size zote zipo.
Hizi gauni ni nzuri mno!
Bei 40,000
Tunaweza kukuletea hadi kwenye kiti chako. Pia tunatuma mikoani
Tunauza jumla na rejareja
Mawasiliano 0755 200023



Baiskeli za watoto zenye tairi mbili


Baiskeli za watoto zenye tairi mbili, umri wa miaka 6 -11 

Size 12 mpaka 16

Bei  330,000
Rangi nyingine ni pink.
Tupo Sinza kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Gauni hili unalivaa popote


Gauni lipo kwa rangi hizi mbili nyeusi na nyeupe.
Bei ni 30,000
Tunauza jumla na rejareja.
Tunaweza kukuletea ulipo ukitaka.
Usiporidhika unarudisha.
Mikoani tunatuma.
Tupo Kariakoo mchikichi na msimbazi na tupo pia Sinza Kamanyola
Kwa mawasiliano piga, text au whatsapp 0755 200023

Saturday, June 17, 2017

Gauni nyeupe na nyingine nyingi

Sketi tight 26,000
Top zimeisha

Hii blauzi ya vifungo kifuani ipo kwa rangi hii, kijani jeshi na pink. Size M, XL na XXL Bei 21,000
Suruali size 27 - 34 bei 28,000

Gauni 30,000

Gauni 30,000

Gauni la mtoko 30,000

Gauni la lace 38,000

Gauni la lesi 40,000
Tupo Sinza Kamanyola
Tunakuletea hadi kwenye kiti chako
Usiporidhika unarudisha
Mawasiliano 0755 200023

Wednesday, June 14, 2017

Blauzi vikoti vya vifungo mbele na pencil skirt


Kikoti chenye mistari pink. Kipo pia kwa rangi ya purple na bluu. Bei 23,000
Pencil sketi 27,000
0755200023

Baiskeli ya watoto ya miguu mitatu ya kuchaji

Baiskeli ya miguu mitatu.

Inatembea kwa chaji ya umeme

Inafaa kwa mtoto aliyeanza kutembea hadi miaka 4/5

Package yote ni 250,000

Tuko wazi saa 3asb hadi 2usk
Sinza Kamanyola
0755200023

KITI CHA MTOTO KUKALIA WAKATI WA KULA HIGH CHAIR

Kiti cha mtoto kukaa wakati wa kula yaani high chair vipo. Ni vipya na ni kwa mtoto
anayeanza kukaa hadi miaka 3.

Bei 350,000⁠⁠⁠⁠
Tupo wazi hadi saa mbili usiku
Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Tuesday, June 13, 2017

Nguo za watoto magauni 28,000

Magauni ya watoto kitambaa chake hakichakai. Urefu inchi 31, ya wa miaka 3-4 
Bei 28, 000 (bei hii huipati pengine popote)⁠⁠⁠⁠
Tupo Sinza Kamanyola, tunaweza kukuletea ulipo na ikiwa hujaridhika unarudisha.
Mawasiliano 0755200023