Wednesday, July 5, 2017

ZINAZOVUMA: Wakili amejitoa kesi inayomkabili Raisi wa TFF

Wakili Jerome Msemwa amejitoa kwenye kesi namba 213/2017 inayomkabili Raisi wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake kwa kutopata maelekezo sahihi kutoka kwa wateja wake.

No comments:

Post a Comment