Wednesday, May 30, 2018

Mito ya kwenye makochi inaelekea huku


Mito ya makochi inaelekea kuwa sawa na ile ya kitandani? Au mto mmoja mkubwa kufidia vile vimito vidogodogo vingi? Hakika mambo yanabadilika!
Kwa mahitaji ya mito na foronya tuwasiliane text, whatsapp au piga 0755200023

No comments:

Post a Comment