Tuesday, May 29, 2018

Tunasafisha sofa za leather / ngozi na za vitambaa



Tuna dawa mbalimbali za kusafishia sofa za aina zote. Tunaweza kukuletea popote ulipo endapo unataka kusafisha sofa zako mwenyewe nyumbani na tutakuelekeza jinsi ya kutumia. Pia ukipenda kijana aje kuzisafishia kwako tunamtuma. Au sisi kuja kuzibeba, kuzisafisha kwetu na kukurudishia pia inawezekana.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023
Tunakurahisishia maisha yako.

No comments:

Post a Comment