Friday, May 13, 2016

DONDOO: Umbo la carpet linatakiwa liendane na umbo la fenicha

Angalia jinsi meza ya duara inavyokaa vizuri kwenye carpet la duara. Inaleta ukakasi kuona kinyume chake.

Mbali na meza ya pembenne kuwa juu ya carpet la pembenne ni kwamba fenicha zote zinatakiwa kuwa juu ya capet ili anayetaka kukaa anapovuta kiti miguu yake iwe juu ya carpet.

Inaleta ukakasi kuona kuwa mtu kaweka ki carpet kidogo halafu wakaaji miguu hailifikii. Raha ya capret ni lisikike kwenye nyayo.

No comments:

Post a Comment