Blauzi za rangi ya pink na kijani zipo. Ni pana tumboni ambapo inazifanye ziwe sahihi kwa wenye tumbo kubwa au wajawazito. Bei ni 24,000 0755200023 Sinza Kamanyola Ukitaka unaletewa.
Kwa heshima na taadhima nawashukuruni sana kwa kuendelea kuniunga mkono.
Personal Shopper
Najua kuwa uko busy sana, au kufanya manunuzi sio hobby yako au hata labda una nguo yako nzuri ila unatafutia ya pili yake kama vile sketi unaitafutia blauzi, shati, koti la kuivamilia...au hata pengine ni raba za watoto hujui uzipate wapi na kwa bei nafuu. Tshirt, suruali, suti na mens wear nyingine ambazo hujui pa kuzipata au huna muda wa kupuyanga kuzitafuta zilipo. Ninaweza kufanyia kazi hii tena kwa gharama nafuu sana, usiporidhika unarudisha. Nina kipaji cha kutafuta vitu quality lakini kwa gharama nafuu sana. Ninaweza kukutafutia chochote kile unachotaka na baada ya kuridhika ndio utalipia. Nitatumia vipaji vyangu vyote kuhakikisha wewe mteja wangu unafurahi.
Najua kuwa uko busy sana, au kufanya manunuzi sio hobby yako au hata labda una nguo yako nzuri ila unatafutia ya pili yake kama vile sketi unaitafutia blauzi, shati, koti la kuivamilia...au hata pengine ni raba za watoto hujui uzipate wapi na kwa bei nafuu. Tshirt, suruali, suti na mens wear nyingine ambazo hujui pa kuzipata au huna muda wa kupuyanga kuzitafuta zilipo. Ninaweza kufanyia kazi hii tena kwa gharama nafuu sana, usiporidhika unarudisha. Nina kipaji cha kutafuta vitu quality lakini kwa gharama nafuu sana. Ninaweza kukutafutia chochote kile unachotaka na baada ya kuridhika ndio utalipia. Nitatumia vipaji vyangu vyote kuhakikisha wewe mteja wangu unafurahi. Tuwasiliane 0755 200023
Suruali za wanawake za vitambaa pamoja na blauzi za mikono mirefu na vifungo mbele. Zinafaa sana kwa ofsini. Zipo size zote, suruali 28,000 na blauzi 25,000
Jana nimekuwa na deliveries 3. Naelewa ni kwa kiasi gani ulivyo busy na hizi foleni za jiji. Nunua chochote toka kwangu ninakuletea hadi kwenye kiti chako.
Suruali za jeans na za kukamata mwili mtindo wa taiti zipo size zote. Jumla na rejareja. Tupo Sinza Kamanyola Bei 28,000 tu Ukihitaji tukuletee ulipo tunakuletea. Mikoani tunatuma. Usiporidhika unarudisha. 0755 200023
Pendezesha ukuta wa sebule yako kwa wallpaper na saa za ukutani. Mrejesho toka kwa mteja aliyefurahia saa ya ukutani toka kwangu. Tupo Sinza Kamanyola 0755 200023
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha shilingi milioni 40.4 hela za Escrow alizokuwa ameingiziwa na James Rugemalira katika akaunti yake kwa ajili ya kusaidia jimbo.
Ngeleja amesema ingawa alipewa fedha hizo kama sehemu ya msaada ameamua kurudisha fedha hizo ili kukwepa kashfa hiyo ya Escrow.
Mtangazaji maarufu wa redio ya EFM ndugu Seth Katende maarufu kama bikira wa kisukuma amefariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Seth atakumbukwa kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha ubaoni. Msiba uko nyumbani kwa baba yake mzazi Changanyikeni Dar es Salaam. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!