Monday, July 10, 2017

TANZIA: Mtangazaji Seth Katende Bikira wa Kisukuma amefariki

Mtangazaji maarufu wa redio ya EFM ndugu Seth Katende maarufu kama bikira wa kisukuma  amefariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi. 

Seth atakumbukwa  kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha ubaoni. Msiba uko nyumbani kwa baba yake mzazi Changanyikeni Dar es Salaam. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

No comments:

Post a Comment