Monday, July 24, 2017

Ulijua kwamba ninaweza kukufanyia manunuzi binafsi?

Personal Shopper
Najua kuwa uko busy sana, au kufanya manunuzi sio hobby yako au hata labda una nguo yako nzuri ila unatafutia ya pili yake kama vile sketi unaitafutia blauzi, shati, koti la kuivamilia...au hata pengine ni raba za watoto hujui uzipate wapi na kwa bei nafuu. Tshirt, suruali, suti na mens wear nyingine ambazo hujui pa kuzipata au huna muda wa kupuyanga kuzitafuta zilipo.

Ninaweza kufanyia kazi hii tena kwa gharama nafuu sana, usiporidhika unarudisha.

Nina kipaji cha kutafuta vitu quality lakini kwa gharama nafuu sana. Ninaweza kukutafutia chochote kile unachotaka na baada ya kuridhika ndio utalipia. Nitatumia vipaji vyangu vyote kuhakikisha wewe mteja wangu unafurahi.

Tuwasiliane 0755 200023

No comments:

Post a Comment