Monday, July 10, 2017

ZINAZOVUMA: Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha hela za Escrow

Mbunge wa Sengerema William Ngeleja amerudisha shilingi milioni 40.4 hela za Escrow alizokuwa ameingiziwa na James Rugemalira katika akaunti yake kwa ajili ya kusaidia jimbo.

Ngeleja amesema ingawa alipewa fedha hizo kama sehemu ya msaada ameamua kurudisha fedha hizo ili kukwepa kashfa hiyo ya Escrow.

No comments:

Post a Comment