Thursday, August 3, 2017

Ni rahisi, Oda, Lipia, Pokea mzigo

Friends...
Unaponitumia hela yako amini kuwa inapokelewa kwenye mikono salama.
Asanteni kwa biashara mnayoendelea kunipa hasa wa nje ya Dar kwa kuniamini kwa pesa na oda zenu.

Vyote vinavyouzwa viko kwenye kipengele cha vinavyouzwa hapo juu ukibonyeza tu unaingia na unaviona.

Bidhaa hazikai, mara ninapoweka hapa na unaona unakipenda mara moja tuwasiliane ili usijechelewa ukakosa.

Narudia tena kusema asanteni.
Mawasiliano 0755200023
Tupo barabara ya Shekilango  Sinza Kamanyola

No comments:

Post a Comment