Sunday, March 25, 2018

Tutume Popote Chochote

Hivi unajua kuwa unaweza kutumia nusu ya gharama ya mchakato wa kujipatia hitaji lako la nyumbani au ofsini endapo tu utaamua kututuma sisi badala ya kwenda mwenyewe? Hebu fikiria rasilimali muda na pesa ambayo inapotea kwa wewe tu kwenda kununua hitaji lako mwenyewe ambapo ungeweza kumtuma mtu mwaminifu tu fasta akakununulia na kukuletea ulipo au kukupelekea nyumbani..vitu kama gesi ya kupikia, pampas na vingine vingi vya nyumbani.

Tupo kukurahisishia maisha yako.
0755200023
Sinza Mugabe

No comments:

Post a Comment