Monday, September 9, 2013

cheki jinsi sanaa za ukutani zilivyowekwa

curio shops zimejaa samora tujinunulie vichwa vya wanyama na mapambo mengine ya asili kwa ajili ya mapambo ya kuta za nyumba zetu.

baadhi ya watu wanadhani maduka haya ni kwa ajili ya watalii tu, nasi tugeuke watalii wa ndani

No comments:

Post a Comment