kama kawaida napenda vitu vizuri. kwa hivyo nikienda mahali naangalia na kujifunza kwa undani vile vilivyonivutia. twende wote hatua kwa hatua tuburudike na kujifunza kutoka kwenye birthday party watu wangu wadogo waliyoalikwa.. karibu mdau..
safari inaanza |
tukafika kwa mwenyeji wetu |
buganvilia nyeupe zimechanua mno mno, ukiona utafurahi |
nimependa huu ubunifu wa kuotesha maua ya kuzunguka ukuta wa fence. wengi huwa wanaotesha mstari wa kunyooka moja kwa moja ila huyu yeye karemba remba |
rock garden |
nikamuuliza mwenyeji wangu hiki chungu hapa juu ya rock garden ni cha nini? akaniambia kilikuwa kimeoteshwa ua lakini maskini limekufa! |
michezo mbalimbali ya watoto ilikuwepo |
keki |
party people |
marafiki zangu wa ukweli wakibembea |
huyooo...nimejificha kwenye majani mapana |
No comments:
Post a Comment