Friday, September 13, 2013

urembo huu utakuwa ongezeko zuri kwenye sanaa zako za ukutani

huu urembo unapatikana kwenye maduka mengi ya kazi za mikono za hapahapa nchini, nadhani kama sikosei unasukwa kwa nyuzi za katani. unapatikana kwa rangi mbalimbali kwa mfano badala ya hiyo orange ingeweza kuwa nyekundu ya kuwaka. ukiuongeza kwenye sanaa zako za ukutani utaleta mvuto

No comments:

Post a Comment