vitu vizuri havina kikomo, mazingira ya nyumba hii yanaweza ku prove usemi huu. kama wewe ni mmoja wa wanaoanza familia au una familia changa unaweza kubuni mapambo ya ndani ya nyumba yako kadri upendavyo kwani ukiwa na watoto wadogo wanafurahia zaidi mazingira rafiki kwa umri wao na wakati huo huo ukibakia kuwa stylish. usiogope rangi, unaweza kuweka pinki, nyekundu, kijani ya limao na kadhalika uamuzi ni wako, ladha ni yako na makazi ni yako.
|
makabati ya jikoni ya pinki na trash can za kijani na njano |
|
ona sanaa ya ukutani imewekewa na kibuyu cha shanga, watoto wanafurahia kuona vitu kama hivi |
|
rangi kila mahali |
No comments:
Post a Comment