Tuesday, September 17, 2013

huyu kabuni zaidi kwa kuotesha boda mistari miwili

boda ni mmea ambao kwa uchache kila nyumba inao. nimeshuhudia boda za rangi tatu tofauti ambazo ni nyekundu, kijani na njano. hizi nyekundu hazipatikani kirahisi ila hizi za kijani na njano njano ni nyingi. kama unaandaa bustani yako ama unataka kuiotesha upya kwa kuondoa maua yaliyozeeka basi unaweza kuwa mbunifu kama huyu kwa kuweka mistari miwili ya ya boda za rangi tofauti hasa yale maeneo ya karibia na ukuta au varanda.


No comments:

Post a Comment