Tuesday, June 2, 2015

Leo ni Zamu ya Profesa Muhongo Kutangaza Nia


Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuomba kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

No comments:

Post a Comment