Wednesday, March 25, 2015

Bizarre: AMEVAA CORSET KWA MIAKA 7 HADI AKATENGENEZA KIUNO CHA INCHI 16....

DU! Hadi kawa kama kilema, mamodo wale wembamba kabisa walao wana kiuno cha inchi 24, lakini huyu ni 16....Inabidi tumpate daktari atufafanulie kama hii kitu haina madhara....hizo organ huko ndani zinajibanaje....

No comments:

Post a Comment