tukiwa tunasheherekea maisha ya Baba wa Taifa la Tanzania leo haya ni baadhi ya yaliyokuwa makazi yake
aliishi kwenye nyumba hii kwa siku 14 tu akaondoka kwenda kwenye matibabu Uingereza ambako alifariki October 14, 1999
hii ndiyo nyumba ya Mwalimu Nyerere aliyokuwa akifikia alipokuwa
akisafiri kwenda Butiama akiwa kama Rais wa Tanzania kati ya miaka ya
sitini hadi miaka ya themanini mwanzoni
hii ni nyumba ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) ilimjengea Mwalimu katika
miaka ya themanini. Nyumba hii ilijengwa kwenye eneo la mwinuko la
Mwitongo kijijini Butiama. ni nyumba ambayo Mwalimu Nyerere aliishi kwa
kipindi kirefu baada ya kustaafu uongozi wa Serikali akiwa kijijini
Butiama
nyumba iliyojengwa kuzungukia kaburi la Mwalimu Nyerere, eneo la Mwitongo, Butiama
picha kwa hisani ya wavuti
No comments:
Post a Comment