Nisingekuwa natumia nisingekushawishi. Oriflame wonder oil unapaka kwenye nywele na mwilini. Ndio siri ya kung'aa kwangu. Bei ni 23,000 na ukitaka kujiunga unanunua kwa bei pungufu ya memba. Mawasiliano 0755 200023
Hivi
ulishawahi kufikiria kuwa na makabati ya jikoni yenye rangi mbili tofauti? Yani
ya juu yawe na rangi yake na ya chini yawe na rangi yake tofauti.
Kutokana
na uwepo wa rangi nyingi za finishing za makabati ya jikoni, baadhi ya wenye
nyumba na wenye nyumba watarajiwa wanafikiria kuchanganya rangi mbili kwa ajili
ya makabati ya jikoni. Mtindo huu unakuja kwa kasi kadri nilivyoongea na
mseremala Andrew Komba wa kampuni ya kutengeneza fenicha ya Furniture Mart
iliyopo Tabata Dar es Salaam. Anasema makabati haya yanaonekana ya kisasa na kufanya
jiko lipendeze.
Iwe
ni kwa muonekano au kuficha makosa yaliyojitokeza kwenye kupendezesha jiko,
kuna sababu nyingi za
Je ulishajaribu sabuni na scrub ya maziwa na asal toka oriflame? Zitaacha ngozi yako laini na nyororo kama asali! Bei ya scrub ni 17,000 na bei ya sabuni ni 13,000.
Kwa oda uletewe ulipo au ufuate mwenyewe moroko piga 0755 200023. Kumbuka jipende wewe kwanza ndipo na wengine watakupenda!
Kama
umeshagundua ni kwamba watu wengi wanajitetea kuwa hawana mpangilio ndani ya
nyumba zao kwa ajili hawana muda wa kufanya hivyo. Na pengine hata wewe
unayesoma hapa sasa hivi una sababu hiyohiyo. “Ooh napenda sana kuweka mpangilio
na kuondoa mrundikano wa vitu lakini muda sina”.
Siri ya urembo ni vipodozi natural toka Oriflame. Tunazo bidhaa za nywele, ngozi na pia perfume. Kamwe hutajutia hela yako. Nimetumia kwa hivyo nina uhakika na ninachosema.
Kwa mahitaji piga 0755 200023 unaletewa hadi ulipo kwa Dar na kama ni mikoani tunatuma.
Mafuta ya asili ya nywele ya nazi yanafanya nywele zako zing'ae, ziwe imara na muonekano wa afya tele. Yana vitamini E kwa ajili ya kulainisha na kuzuia zisikatike. Bei ni 23,ooo.
Kwa wenzetu ambao kwapa linatoa jasho sana hadi kufikia kuonekana kwenye shati au blauzi, huku pengine likiacha harufu mbaya. Deodorant na spray ya Activelle zinakufanya unukie vizuri na kukuacha fresh kwa masaa 48. Suluhisho ni Activelle Deodorant bei sh 8,000 na Spray bei ni 12,000. Tupo Moroko, mawasiliano simu 0755 200023
Lotion hii ya mwili ya Happy Skin ni kwa ajili yako wewe mwenye ngozi kavu na mwenye ngozi kavu zaidi. Endapo ngozi yako inawahi kupauka hii lotion ni nzuri sana inakuacha ukiwa laini na unyevunyevu.
Bei ni 27,000. Kwa mahitaji au fursa ya biashara tuwasiliane kwa