Thursday, August 17, 2017

Maua ya kupamba meza ya sebuleni



Pamba meza zako za sebuleni kwa maua haya ya vesi za pembe nne.
Bei 50,000

Mawasiliano 0755 200023
Tupo barabara ya Shekilango Sinza Kamanyola tunafungua saa nne asbh na kufunga mbili usiku
Tunatuma popote

Kama ungependa nikuadd kwenye goup la updates za nguo, nyumba na matoi nijulishe kwa meseji.

Wednesday, August 16, 2017

Blauzi za chiffon

24,000

Pamba sebule yako kwa kutumia vesi hizi mpya za mezani

Vesi za kiwango za glass nene. Bei 50,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023
Tunatuma popote

Foronya, mito, maua, vesi na vioo vya kupamba ukutani

Seti ya vioo vitatu vya kupamba ukuta, vyote bei 50,000

Changamsha sebule na makochi kwa mito iliyovalishwa foronya zenye rangi za kuvutia.
Bei ya foronya moja ni 10,000

Vesi na ua lake 40,000
Toa oda yako, karibu tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano text, simu, whatsapp 0755200023

Tuesday, August 15, 2017

Kaptula za kike, sketi na blauzi za shifoni, za ofsini za vifungo mbele


Nguo mpya zimeingia toka Italy. Bei ni nafuu kabisa hakuna inayozidi elfu 25.
Tupo Sinza Kamanyola na tunakupelekea popote ulipo.
Karibu dukani au tuambie tukuletee ulipo.
Mawasiliano 0755200023

Wednesday, August 9, 2017

Makapeti Mazulia ya ndani Sebuleni

Urefu 170cm na upana 120cm
Bei 190,000
Urefu 230cm na upana 160cm
Bei 290,000


Makapeti mazulia ya manyoya ya sebuleni yapo.
Tupo Sinza kamanyola
0755 200023

Suruali tofauti tofauti za kodrai zipo


Bei 28,000
Zipo saizi zote
0755200023

Bomba /Fimbo/ Hanger za pazia double na single


Bomba /Fimbo/ Hanger za pazia double na single zipo complete na vibanio vya pazia ukutani.
Double ni 45,000 na Single ni 35,000. Chini zina vidude vya kushikilia pazia kama unataka kuifungua/kunja
Tupo Sinza Kamanyola
Tutatuma popote
Mawasiliano 0755200023

Monday, August 7, 2017

Suruali za linen na vipedo zipo

24,000


26,000
Suruali za linen na vipedo zipo kwa rangi zote. Zinafaa kwa ofsini, na vipedo mambo ya ijumaa na weekend.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023
Pia tunatuma popote.

Sunday, August 6, 2017

Magari na mapikipiki haya ya watoto kila moja ni 150,000




Magari na mapikipiki haya yana chaji za umeme. Mtoto anapanda linatembea kwa masaa matano kabla chaji haijaisha.
Bei ni 150,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Saturday, August 5, 2017

Picha ya kutundika kwenye ukuta wa dining


Picha hii inafaa kutundikwa kwenye ukuta wa dining au kupendezesha jiko.
Bei 95,000
Mawasiliano 0755200023
Sinza Kamanyola
Popote tunatuma.
Ukipenda nikuadd kwenye grupu la discount nijulishe.
Nifollow ig @vivimachange

Jeans, pajama tisheti, sweta na blauzi

Masweta yenye kofia 25,000

Blauzi za 2 in one zote mbili 25,000

Jeans kubwa kabisa 28,000

Tisheti 21,000

Pajama za watoto wa kike 25,000
Nina nguo mpya dukani toka Italy na Uturuki.
Nauza jumla na rejareja.
Tupo Sinza Kamanyola
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755 200023
Ukitaka grupu la discount nijulishe nikuadd
Karibuni nyote.

Friday, August 4, 2017

Thursday, August 3, 2017

Bathrobe taulo za watoto na wakubwa zipo




Bathrobe taulo za kuogea za watoto na wakubwa zipo. Za watoto bei 45,000 na za wakubwa ni 55,000
Mawasiliano 0755200023
Tupo Shekilango Sinza Kamanyola

INGIZO JIPYA! Suruali kubwa za kike za Linen


Suruali kubwa za kike za linen za off white kiuno 38 na hips 48. Zipo chache, bei ni 45,000
Tupo Sinza Kamanyola.
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755 200023

Ni rahisi, Oda, Lipia, Pokea mzigo

Friends...
Unaponitumia hela yako amini kuwa inapokelewa kwenye mikono salama.
Asanteni kwa biashara mnayoendelea kunipa hasa wa nje ya Dar kwa kuniamini kwa pesa na oda zenu.

Vyote vinavyouzwa viko kwenye kipengele cha vinavyouzwa hapo juu ukibonyeza tu unaingia na unaviona.

Bidhaa hazikai, mara ninapoweka hapa na unaona unakipenda mara moja tuwasiliane ili usijechelewa ukakosa.

Narudia tena kusema asanteni.
Mawasiliano 0755200023
Tupo barabara ya Shekilango  Sinza Kamanyola

Wednesday, August 2, 2017

Vesi na maua makavu ya kupamba ndani



Vesi tupu 45,000
Vesi na maua yake 65,000
Tupo Shekilango road Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023
Pia kama utapenda niku add kwenye group la updates na discount nijulishe.
Tunatuma popote

Picha / fremu kubwa za kutundika ukutani bei 95,000


Picha kubwa za ukutani urefu sentimita 72 na upana cm 46.
Bei ni 95,000
Tupo barabara ya Shekilango Sinza Kamanyola.
Mawasiliano 0755 200023
Tunatuma popote

Tuesday, August 1, 2017

Wateja wangu wa mkoani nawapenda!

Wateja wangu wa mikoani nawapenda. Ukioda leo kesho nakutumia. Click kwenye vinavyouzwa.
Mawasiliano 0755 200023

Mito ya duara rangi yoyote unayotaka ipo. Bei 15,000






Mito ya duara ya kwenye makochi rangi maroon, green apple na nyeupe ipo.
Bei 15,000
Mawasiliano 0755 200023