Wednesday, April 25, 2018

Jagi birika la umeme


 Bei 45,000
Ujazo lita 1.8
Mawasiliano 0755200023

Pasi used / Steam Iron

Pasi used za mvuke zipo 2 bei ya kila moja ni 60,000
Tupo Sinza Mugabe
Tunatuma popote
Mawasiliano 0755200023

Thursday, April 19, 2018

Tunabandika wallpaper



Tunabandika wallpaper zikiwemo za 3D ukutani na darini. Hebu ona huu ukuta wa TV ulivyopendeza sebuleni.
Mawasiliano 0755200023
Sinza Shekilango

Monday, April 16, 2018

Simu Samsung Galaxy S7 na Iphone 6 Plus zinauzwa


Simu 2 zinauzwa:

1.  Samsung Galaxy S7 Edge GB 32 bei 880,000

2.  Iphone 6plus 64GB bei 950,000

Mawasiliano 0755200023

Monday, April 9, 2018

Saa za ukutani












Saa za ukutani zaidi ya kukuambia muda ni pambo tosha. Zipo aina mbalimbali. Mawasiliano 0755200023. Tupo Sinza Kamanyola

Foronya za mito ya makochi

Foronya za mito ya makochi zinasaidia kupendezesha sofa kwa kuongeza rangi, ziwe ni kwa rangi moja au tofauti zipo kwa size unayohitaji mteja wangu. Tuna michoro zaidi ya 40 ya vitambaa vya foronya na sofa ikiwemo velveti isiyopitisha maji.

Kwa oda mawasiliano ni 0755200023. Tupo Sinza Kamanyola.

Sunday, April 8, 2018

Kitanda chenye kabati la nguo

Tunaweza kukutengenezea kitanda kama hiki chenye mashelfu, kabati la nguo na workstation.
Mawasiliano 0755200023
Sinza Barabara ya Shekilango

Friday, April 6, 2018

vioo vya ukutani vya mapambo





Vioo vya ukutani vya mapambo vya special vinakaa vitatu vitatu. Umependa design ipi?
Mawasiliano 0755200023

Kitanda cha mtoto bei 160,000

Kitanda cha mtoto
Kina ngazi 3
Kinakunjika kwa mfano nyakati za safarini.
Ni kipya ndani ya used, kiko kwenye hali nzuri mno kwa wewe mwenye uhitaji.
Kipo Sinza Kamanyola na tunatuma popote.
Mawasiliano 0755200023

Wednesday, April 4, 2018

Taa za jikoni


Pendants ni taa ambazo kikawaida zinawekwa kwenye kisiwa cha jiko. Kabla hujanunua chukua sample utest. Hili jiko likikamilika hakika litapendeza.
Je, umependa ya kulia au kushoto?

Fimbo za pazia za chuma ni nzuri na imara



Tunazo fimbo za pazia imara za double na singo Pia tunayo mapazia mazito na mepesi ya kila aina. Tuite tukufungie pazia.

Vilevile tunafanya manunuzi binafsi na kukupelekea nyumbani au ofsini na pengine popote unapotaka kutuagiza.
Mawasiliano 0755200023

Tunaripea sofa za zamani


Tuna repair sofa za zamani kwa vitambaa vizuri vya sofa na kuzifanya mpya tena.
Mawasiliano 0755200023
Tupo Sinza barabara ya Shekilango
Tutume tukutengenezee sofa nzuri.

Saturday, March 31, 2018

Vitambaa vizuri vya sofa...velveti isiyopitisha maji


Hivi una habari kwamba velveti isiyopitisha maji ndio kitambaa cha sofa kinachokufaa zaidi hasa wewe mwenye watoto wadogo nyumbani?

Una makochi unayotaka kuyaboresha au labda unahitaji seti mpya ya makushen?

Tuna mitindo zaidi ya 40 ya vitambaa vizuri vya sofa ikiwemo velveti original ambayo haipitishi maji.

Kwa mahitaji mawasiliano ni 0755200023
Tupo Sinza Shekilango

Friday, March 30, 2018

Jiko la kuchoma nyama

Jiko dogo Used la kuchoma nyama. Bei 250,000. Linafaa zaidi nyumbani
0755200023

Neti za kisasa za darini


Watu wengi wamekuwa wakipata wasiwasi kuwa kama chumbani kuna feni basi neti ya darini haifai. Sii kweli, tunakuwekea neti ya darini hata kama chumbani kuna feni kubwa ya darini.
Mawasiliano 0755200023
Nitume hitaji lako la nyumbani au ofsini.

Wednesday, March 28, 2018

Tuesday, March 27, 2018

Milango ya mninga



Mteja akiwa amenituma nimpeleke fundi tukampimie milango tumpe bei. Nitume popote, nitume chochote. 0755200023.

Sunday, March 25, 2018

Kiti cha kukalia mtoto mchanga


Kiti used cha kukalia mtoto mchanga hadi miezi kadhaa ili kumuweka karibu na ulipo kipo. Bei 130,000
Mawasiliano 0755200023.

Kama una vitu vya nyumbani au ofsini ambavyo huvihitaji tena au pengine unahama mjia au nchi lakini bado viko kwenye ubora wake tafadhali nijulishe kupitia 0755200023.
Tunauza vitu used.

Tutume Popote Chochote

Hivi unajua kuwa unaweza kutumia nusu ya gharama ya mchakato wa kujipatia hitaji lako la nyumbani au ofsini endapo tu utaamua kututuma sisi badala ya kwenda mwenyewe? Hebu fikiria rasilimali muda na pesa ambayo inapotea kwa wewe tu kwenda kununua hitaji lako mwenyewe ambapo ungeweza kumtuma mtu mwaminifu tu fasta akakununulia na kukuletea ulipo au kukupelekea nyumbani..vitu kama gesi ya kupikia, pampas na vingine vingi vya nyumbani.

Tupo kukurahisishia maisha yako.
0755200023
Sinza Mugabe

Neti ya kisasa kuliko zote ni neti za darini


Neti za kutobolea darini ndio za kisasa zaidi, ni free size na zinatosha kitanda hadi cha 8 kwa 8. Ni ndefu hadi sakafuni. Ni rahisi kutoa na kurudishia wakati unapohitaji kuifua.

Asante mteja wangu wa madale.

Kwa mahitaji tuwasiliane 0755200023

Wednesday, October 25, 2017

Vacuum Cleaner heavy duty/commercial 450,000

Used heavy duty/ commercial vacuum cleaner.

Inafaa kutumika nyumbani au kwenye carwash.

Vumbi na mchanga kwenye carpet, sofa na gari bai bai.

Bei 450,000

Australian Standard
0755200023
Tupo Sinza Kamanyola

Toaster ya Kukaushia Mikate



CONDITION: Used
Bei 45,000

Standard ya Australia
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755 200023

Kitambaa kikubwa cha meza ya pembenne


Kitambaa kikubwa ( urefu mita 2 na sentimita 20) cha meza ya pembe nne na napkins/mats zake 8 kipo kwa rangi 3.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Wateja wangu wa mikoani nawapenda sana sana!

Ukitaka bidhaa ni hatua 3 tu.
1. Unaoda
2. Unalipia
3. Unapokea


Asanteni kwa kuendelea kuniunga mkono.
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Monday, October 23, 2017

Mafuta haya ya nazi yana faida nyingi


Yako clear kama maji, niambie uko wapi nikuletee. Mawasiliano 0755200023

Unaweza
-Kuyanywa
-Kujipaka kwenye ngozi
-Yana balance blood sugar
-Yana balance cholestrol
-Yanaongeza nguvu mwilini
-Yanaua fungus
-Yanapunguza makunyanzi
-Yanapunguza kuungua na jua
-Yanaondoa mba kwenye nywele
-Yanakufanya uonekane wa umri mdogo kuliko ulio nao
-Yanaongeza kinga mwilini
-Yanaongeza mmeng'enyo wa chakula
-Yanafaa kwa massage

Bei 15,000 na 8,000

Sunday, October 22, 2017

Comforter / Duvet nyeupe bei 150,000



Mafuta ya nazi


Mafuta ya nazi ya Africana ni extra virgin /nazi bikira kwa maana ya kwamba hayana chemicals kabisa hata preservatives. Yanatengenezwa hapa nchini. Hayajachemshwa ni cold pressed ni mazuri kwa kupaka watu wa rika zote kwenye ngozi na nywele na kupikia hasa kwa watu wenye cholesterol and kisukari maana ni cholesterol free. Pia kunywea kwenye vinywaji kama vile chai katika kupunguza unene bila kusahau kusukutua ili kuondoa maumivu ya fizi na meno na kuyafanya meupe. Kwa ujumla mafuta haya ni hakika kwelikweli na yana faida nyingi kwenye mwili wa binadamu..kama mnavyonijua sibahatishi!

Makubwa mls 250 bei ni 15,000
Na madogo mls 120 bei ni 8,000
Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023

Unatamani kutengeneza sehemu ya ukuta yenye gallery ya vioo na fremu?

Njoo tusemezane kama unahitaji kutengeneza wall gallery ya fremu na vioo. Tuna vioo na fremu za kupendezesha kupamba ukuta vya aina mbalimbali.
Tupo Sinza Kamanyola, mawasiliano 0755200023

Pikipiki ndogo ya mtoto ya kuchaji bei 150,000 kubwa 270,000


Tupo Sinza Kamanyola, mawasiliano 0755200023.
Popote tunatuma, kubwa ni 270,000

Wallpaper na vioo vya kwenye sinki vipo


Wallpaper tofauti tofauti na vioo vya ukutani na kwenye sinki vya aina mbalimbali vipo.
Mawasiliano 0755200023

Saturday, October 21, 2017

Ofa..zote 3 ni 40,000

Ofa ya fremu zote 3 za mezani za kuwekea picha, bei 40,000
Mawasiliano 0755200023 

Kitambaa cha meza ya chakula pamoja na napkin



Kitambaa kikubwa cha kufunika meza ya chakula size ya mita moja na nusu kwa mita mbili na sentimita 20
Napkini 8 na vibanio (rings) vyake 8. Bei ya package nzima ni 120,000
Mawasiliano 0755200023